nasisimkwa sana kwa hili
unajua habari ni pale samaki anapokula mtu?
Safi mbeya city!
Lengo letu ni kuondoa hizo timu mbili za kariakoo ambazo zipo toka nchi yetu inaitwa tanganyika hadi leo hata uwanja hazina.
Simba tumeishaweka nafasi ya 4 na mwakani inashuka daraja kabisa.
Mwakani yanga watashika nafasi ya 3.
Katika michezo haya ndio maendeleo tunayoyataka sio timu kongwe hadi zihongwe na kili time,viongozi wananeemesha matumbo ya familia zao tu.
Hongera mcc kwa mipango hiyo.baada ya hapo mje na uwanja sasa
Safi mbeya city!
Lengo letu ni kuondoa hizo timu mbili za kariakoo ambazo zipo toka nchi yetu inaitwa tanganyika hadi leo hata uwanja hazina.
Simba tumeishaweka nafasi ya 4 na mwakani inashuka daraja kabisa.
Mwakani yanga watashika nafasi ya 3.
Mkuu wahinga wamenina kipya hakinyime au ivumayo haidumu hilo basi kweli letabeba wachezaji kwa muda baadaye litakuwa lenasanya kama dala dala na hayo tushayaona na hiyo ni sawa sawa na shati jipya