mapezi

kizuri kula na rafiki yako kibaya kula pekee yako
 
Mbona wanaume mnamega rafiki zetu au hiyo imehalalishwa?
 
Kwa sababu sie tulishazoea kumegewa...so tumejifunza mbinu mpya ya kuwaonjesha na nyie machungu
Tunamaluzana tu na rafiki zenu...mkishtukia nasisitiza mtuache

Hivi tuko wangapi?
 
Fanya kama wachaga kama huna bastola njoo chukua hilo ndo.suluhsho
 
Kwa nini uwalaumu wanawake pekee wakati huyo rafiki yako anayekuchukulia ni mwanaume..?? Au huyo rafiki yako ni mwanamke..?
 
Mbona wanaume mnamega rafiki zetu au hiyo imehalalishwa?
 
Kwani huyo rafiki yako anayetembea na shemeji yako ana matatizo gani?
 
mapenzi ya kugandana hayana maana we umeshaona ana mpenda rafiki yako si ukae kimya tu..............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…