we jamaa ni muongo ata cheo chake hujui kukiandika afu unasema ulitafuna sifa za KI.JI.N.GA...........
whatever kifupisho kilivyo Mkuu wa upelelezi wa wilaya anaitwaje?second,kugonga nako ni sifa?sioni haja ya kujilimbikizia idadi ya nilyoowala hili tu nionekane jembe....
Hivi si kuna sheria ya raia kutomuoa askari? Na mkipendana, kuna fomu unajaza yenye masharti magumu? Mwenye taarifa anisaidie, maana..
^^
wote wanaolewa na raia ila unaeoa unapaswa kuandika barua ya maombi mkuu... then baadae utapewa masharti ya kuishi na huyo bibie

Mimi siwezi kuharibu muda wangu na askari yeyote yule hata awe msupa vipi. Venye wanajifanya kuwa strict nkt!
Juzi lingine lilinipigisha magoti ati kisa sikusimama wakati anashusha bendera ilhali sikusikia firimbi.
Wanaume tuwachukieni sote!

Habari za leo wanajamvi? Natumai mu wazima.
Jamani leo nimekuja na hili swali. Hivi inatuwia vipi sisi wanaume kuwatongoza askari polisi au wanajeshi wanawake?
Hapa mtaani kwetu kwa juu kidogo kuna kituo cha polisi sasa kuna askari mmoja wa kike ni mgeni (nadhani ni wale waliomaliza mafunzo miezi kadhaa iliyopita) kahamia hapa yaani ni kisu balaa.
Ila sasa ugumu unakuja nikishamuona tu ndani ya gwanda naona kama nikienda kuimbisha ntaambiwa 'Haroo unareta utani na jeshi ra Porisi eeh? Haya twende kituoni ukarare sero'.
Yaani huwa najiuliza yaani sisi raia wa kawaida hatuwezi kuwamiliki na kuwagegeda hawa askari polisi au wale wanaovaa ya mabaka mabaka wa kike?
hyo labda ilikuwa zaman lakn sasa hvi watu wanajizolea tu. Hakuna cha maombi wala nn.
Kwanza hata ile sheria ya kuwa akitoka depo lazma akae miaka 3 nayo haipo watu wanatoka depo ndan ya wiki mbili tayar mimba
thubutuuuuu.. hiyo sheria inatekelezwa barabara mkuu. ukikiuka inategemea na boss wako yuko vipi ila wanasainigi mkataba kuwa hutooa/kuolewa wala kuzaa mpaka miaka mitatu ipite. watu wanafukuzwa kazi kabisa. na kuhusu suala la mkataba wa.ndoa sheria inakiukwa kwa kuzoana bila utaratibu ila ipo na inafanya kazi. kuna masharti ya kuishi na huyo mkeo.. tafuta mwanasheria au askari polisi akuelezee hii kitu mkuu