Mapenzini na askari polisi au wajeda wanawake

Jiamini tu. Wameumbwa kwa ajili yenu! Magwanda hayo yasikutishe sana....yanavuka tu with right skills, resources and timing.
 
Wa kawaida hao mimi kuna mmoja ananisumbua mpaka kesho ila ndo hvyo mzuka nae sina
 

Duh! Mbavu zangu majeruhi
 
umeongea kweli... Yaan sijui kwann askari wa kike hawawapendi askar wa kiume wanadai ni malaya sana hawatulii na mwanamke mmoja, wakat huo hata wao ni vicheche mno. Ndio maana walio wengi hawaolewi

ngoja ntafute picha moja hivi uliyowafukuzisha watu kazi ili niamini maneno yenu!
 
polisi tu?mapenzi hayanaga komandoo,wala raisi wala nan sembuse polisi aaaahh m nikipenda natiririka tu hata akinirukisha kichura poa tu ila ipo siku atae
kubali..mkuu
 
Anasomeshwa simba jike na ukali wake itakuja kuwa askari ?Ila usikubali kufungwa pingu.
 

TAHADHARI...

Kuwa makini akiwa anafukuziwa na mjeda mwenzake acha kabisa katafute raia wenzako vinginevyo utatiwa mimba bure na huyo askari wa kiume anayemfukuzia. kutiwa mimba maana yake ni kuwa jela ndo makazi yako au kuwa rafiki wa baadhi ya askari wa kiume ili ukinukishwa noma wakutete.

siku zote askari wote ni wanaume na raia wote wanawake...
 
Tatizo la hao hawataki longo longo...streit kwenye point Sio unajua mimi nakupendaga nakupenda sana we hujui tu..naomba kampan yako sijui umenitokea usingizini nk

We mwambie tu lengo lako kama ni frend mechi tu then kila mtu kivyake au una unataka piga tu mwambie mimi nataka tupashane joto na kwa sasa hamna future

Kama unataka kuoa kabisa mweleze hapa ndoa ipo ila lazima uitolee jasho kwanza promis

Wanaelewa na hawana hiana kama ana nafasi ya kukupokea kwani wakezoea lugha rahisi na ya direct
 
Tatizo cku akikukuta na dem mwingine ujue lazima uende sero aiseeee
 
Uaskari haumfanyi kuacha kuwa mwanamke. Wanatamani kama wengine tu. Je umewahi kumwona bila uniform?
 
Aise watu mnamwaga mauzoefu tu humu ndani...
 
hamna lolote tena hao waliomaliza mafunzo na kwao ni huko bara cjui huwa hawana hiyana maisha magumu kwa kweli nlimpata mmoja simsahau askari lkn amefunzwa unyagoni hta apige simu rais dushe halitolewi babuu!!
 
Hivi si kuna sheria ya raia kutomuoa askari? Na mkipendana, kuna fomu unajaza yenye masharti magumu? Mwenye taarifa anisaidie, maana..
^^
 
uoga wako tu.....nshatafuna watatu na mmoja alikuwa occid...tena wanahamu ya kutongozwa but wait wana waogopa....
 
Naona mnachokiogopa apo ni magwanda tu ila wengine wanagawa tu kama big g njoo kwangu nina magwanda ila nshakukubalia kabla ata ujaniambia
 
uoga wako tu.....nshatafuna watatu na mmoja alikuwa occid...tena wanahamu ya kutongozwa but wait wana waogopa....

we jamaa ni muongo ata cheo chake hujui kukiandika afu unasema ulitafuna sifa za KI.JI.N.GA...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…