mapenzi

babomy

New Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
3
Reaction score
0
mm n kijana wa miaka 24 mwezi wa nane nilipata msichana wa marangu nikampenda na yeye anadai ananipenda baada ya miez mitatu ikawa hvi....siku ya chrismac mida ya saa nane nilimtafuta kwa cm yake akawa hapatikani kufika saa3 usiku nikampigia dda yake kasema nimetuma dukan maramoja alafu sim yake kaibiwa badae kidogo kanitumia sms kwa number nyngne kaniambia line yake imejilock na yy huko mwnge aliagizwa na dada yake wao wanaishi bunju after 2 wks nikajaribu kupga ile number kapokea mwanaume wakat alidai ni ya wifi yake so mm nikampotezea nikajua wamekula hapa akalialia badae nikamwambia bas yameisha sasa juz asbh kaniambia anaenda kikao cha sendoff ambacho kilikuwa kinafanyika saa9 yy katoka saa4 kutoka bunju kwnda manzese mida ya saa7 nikampigia cm ikaonekana yuko kama bar maana kulikuwa na kelele sana saa8 akazma sm mpaka saa kumi na mbili nakuja kumpigia ananiambia yuko kwa gari anarud nyumbani bunju nikamwambia y umenicheat kamind sana nikamwambia ww bas bhana analalamika et y nmempotezea tme en n mtu wa kuniomba hela sna mara kusuka leo mafuta siku nyngne na ham na chps mm nmekuwa nikimpa SASA NAOMBA USHAURI WENU NIMUACHA AU NIFANYE NINI MAANA NAMONEA IMANI SANA.
 
Piga chini,atakupasua kichwa huyu,but sema kwanza na moyo wako but jiandae anaonekana ana movie nyingi zinakuja!
 
Mmh huyo kicheche atakusumbua sana kuna wakaati ukiwa kama mwanaume rijali unatakiwa utoe maamuzi mazito bila kujali athari upande wa pili wee endelea kumuhurumia utajikuta na vidonda sehemu za siri hapo ndo utajua huruma yako imekufikisha wapi anatanua na wengine wewe anakuweka kama spare upo tuu haya wee
 
Sijakufahamu vizuri, unataka ushauri ama tukusaidie kuamua?

Ushauri
We ndo unamfahamu huyu demu tangia mmeanza mpaka hapo mmefika. Kuna mambo mliyokubaliana, na wewe unaona kabisa kule mnakoelekea siko. Kwa ufupi kwa hayo uloyasema hapo juu, bado hajaamua kutulia na inawezekana kabisa mpo wengi ila kwa vile wewe unakata fungu kubwa basi hataki kukuacha. Uamuzi ni wako baada ya kushuhudia vituko vingi.

Uamuzi.
Ikiwa unataka kuugua presha katika umri ulio nao na pia kujiunga na clinic za ushauri nasaha endelea kuwa na huyo demu. Inaonekana huyo demu ni kicheche na kishaujua udhaifu wako uko wapi. Ataendelea kukudanganya na huku akiuza nje. Kwa hiyo basi huyo demu hakufai, PIGA CHINI MARA MOJA.

Ila ninavyokuona hauwezi kumwacha huyu demu kwani tayari ulishajikoleza. Hili suala lilikuwa dogo la wewe kufanya maamuzi ya kuachana nae tena kwa amani bila kelele.
 


Babomy hv ni kweli umetafakari nini cha kufanya hadi umefika mwisho wa uwezo wako wa kutafakari, na sasa unaomba ushauri wa nini ukifanye hapo??
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu...........................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Haya bhana kama ni kweli ndio mwisho wako wa kutafakari, bhasi hayo ni manyoya tu kuku hayupo!!!!
 
Kwani baada ya yote hayo bado moyo wako unampenda au unafanya hayo ya kununua vipodozi na chips kama sadaka au unamsaidia?
 
Ndugu kama ulikuwa na mpango wa ndoa naye naomba uahirishe tena haraka sana,coz ndoa si lelemama na wala haina kuoneana imani wala nini ni kuwajibika haswa na uvumilivu juu wa karaha za hapa na pale?utaweza kizivumila hizo karaha hadi kifo kiwatenganishe?
 
mbona jibu liko wazi tu,haina haja ya kuuliza,hauko peke yako,wewe ni wa kuchunwa tu.halafu unasema unamuonea huruma,wtf?
 
angalia usilambe dume...anayekupenda si lazma akutamkie kwa maneno angalia matendo..
 
Aisee washauri mna kazi kama vijana wa leo hawawezi ku analyse hata issue ndogo ndogo tu kama hizi!
 

mwanangu hivi nikikasirika na kukwambia ukweli kuwa "wewe umefanywa kama -----" utakasirika..eti? hujui kusoma alama za nyakati au maandiko ukutani? haya endelea tu. halafu hako kabinti kameniambia kanataka ukanunulie zawadi ya valentine ila siku hiyo ya valentine atakuwa mahali na 'kaka yake kivileee'! umeelewa lugha?
 
Miaka 24 na mambo ambayo yako wazi kama haya anashimdwa kuyatafakari na kuja na possible solution
Tafakari na endelea kutoa zawadi kuna siku utatupiwa virago mlangoni
 
wee mle tigo alafu unambwaga...simple as that.
 
...hahahaaa

vijana wanasubir matokeo hawa...

Mtasumbuliwa sana coz mpaka mwezi wa 7 ndo mwaenda tena shule..kueni makini tu..
 
Tusimhukumu moja kwa moja huyu binti!je wewe u msafi kiasi gani?kwann anatoka nje?kuzima simu ndo amecheat?kwann humuamini?tungepata interparty hearing tungetoa ruling nzuri!pia ukimuacha huyo utaachana na wangapi?tafakari!mapenzi hayalazimishwi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…