Mimi naona kuna tofauti kubwa sana ya mental maturity kati yenu ambayo baadae itawasumbua kiasi chake. Kumpita mtu 16 years then uishi naye kama mshauri na kampan yako seems like ni changamoto.
Pia kumbuka kuna wakati wewe utakuwa umezeeka na huyo mwenzako atakua bado ana mahitaji ya ujana ujana na wewe hutaweza kuyatimiza ipasavyo kutokana na umri kwenda sana so itakupelekea kuwa na wasaidizi wa ndoa yako.
Otherwise, ndoa sio upendo pekee yake mkuu, Kama ndivyo kungekua na ndoa nyingi sana na devorce nyingi sana maana kuna wakati moyo huupumbaza ubongo kwa kitambo na akili ikirudi sawasawa utatamani hata uhame nchi ili utengane naye. hapo moyo unaanza kupoa na kuruhusu akili ifanye kazi yake sawasawa.

Hii nimeisoma na kuielewa lkn kwa sasa tumekuwa 'blinded'na penzi mpaka huko mbele tumeshindwa kupafikilia.
Mtadumu hadi mchokane.