Mapenzi

Mapenzi

Utakapokua na 40 yy ana 24 hapo ndipo vijana wenzie watakapokumegea mpaka uchanganyikiwe

Ni swali tu. Hivi hawa wote wanaochukuliwa wake walioa si umri wao au ni katabia ka m2?
 
kama wewe ni mwanaume inawezekana but kama ni mwanamke mmmmmmmmmmhhhh!!! ila nowdays watu wanacheza sana na maumbile kuliko miaka!!
 
Inawekana kwa kuwa ww ni mme kwan ng'ombe hazeeki maini!! Angalizo usije kanyanyasa katoto ka watu kisa we mkubwa pili jitahid kuwa fit kimwil fanya mazoez na usijiachie na misos usije saidiwa kaz na vijana wa rika lake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom