mapenzi

mapenzi

BIN BOR

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
1,013
Reaction score
407
Jamaa mmoja alikata tiketi ya bahati nasibu na akawa anasubiri siku ya mchezo ifike ili ajue kama atapata milioni mia. Mkewe akamuuliza.

"Mume wangu utaendelea kunipenda hivi hata kama utashinda milioni mia?"

"Bila shaka mke wangu, nitaendelea kukupenda japo nitakumisi"
 
maan yake atamuacha ndio maana kajibiwa japo ntakumiss..
lol heheheheh ishakula kwake huyo..
 
Mbona wanaume tu na wanawake wakipata pesa wanakuwaje?
 
Back
Top Bottom