Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,410
- 8,704
Kila abiria anatakiwa kuchunga mzigo wake.
Umenichekesha na kunikumbusha kituko cha mshikaji....room mate wangu alikuwa anampuyanga mdada mtaa kama wa 4 toka hapa kwetu. Hayakuwa mapenzi ya kweli kwani mshikaji aliweka bayana kuwa hataki demu kwa sasa na demu akakubali. Cha kushangaza baada ya kumduu yule demu si akaja badilika ghafla, akawa anakuja nyumbani na akinikuta mimi anakasirika na kumwambia mshimaji kwanini anaishi na mimi asitafute chumba awe huru ili akija wawe wote. Mshikaji akashangaa na kumkumbusha alimwambia nini siku za mwanzoni, eti demu kakasirika na kumlaumu mshikaji kuwa hampendi anataka kumtumia tu. Jamani wanawake, hivi nani anawaroga?Kwa kifupi huwa napenda uhuru hasa ninapokuwa kwenye mahusiano! Kwenye maongezi ama chating sipendi maswali mengi mengi yasiyokuwa na tija,ama upo wapi? unafanya nini? Na nani? Kwa nini? ili iweje?
Demu anapogeuka askari mpelelezi kwenye maisha yangu kwangu mimi nakereka sana! Mwanamke anayelazimisha mchati usiku kucha bila jambo lolote la msingi na hana hoja yoyote ya muondelezo wa story huwa naboreka sana!
Mwanamke anayekuja gheto mara kwa mara bila taarifa yeyote ni kero iliyotukuka! Nimeshawahi kuacha mwanamke kwa sababu tu alikuwa anakuja ghetto wakati wowote siku yoyote bila taarifa na hata siku moja hajawahi kunipa taarifa kwa muda wa mwaka mzima aisee nilivumilia hata nikaamua kuachia ngazi maana ukimwambia anakuwa Mkali!
Mapenzi yakuchunguzana kwangu ni big No!
N:B,mchunguze tu endapo ni mkeo ama mumeo ili ujue unaishi na mtu wa namna gani na wale sio mpita njia
ukiona hivyo ujue humpendi huyo mkuu ..ukiwa unampenda mtu ukiona sms yake tu ni faraja na furahaKwa kifupi huwa napenda uhuru hasa ninapokuwa kwenye mahusiano! Kwenye maongezi ama chating sipendi maswali mengi mengi yasiyokuwa na tija,ama upo wapi? unafanya nini? Na nani? Kwa nini? ili iweje?
Demu anapogeuka askari mpelelezi kwenye maisha yangu kwangu mimi nakereka sana! Mwanamke anayelazimisha mchati usiku kucha bila jambo lolote la msingi na hana hoja yoyote ya muondelezo wa story huwa naboreka sana!
Mwanamke anayekuja gheto mara kwa mara bila taarifa yeyote ni kero iliyotukuka! Nimeshawahi kuacha mwanamke kwa sababu tu alikuwa anakuja ghetto wakati wowote siku yoyote bila taarifa na hata siku moja hajawahi kunipa taarifa kwa muda wa mwaka mzima aisee nilivumilia hata nikaamua kuachia ngazi maana ukimwambia anakuwa Mkali!
Mapenzi yakuchunguzana kwangu ni big No!
N:B, Mchunguze tu endapo ni mkeo ama mumeo ili ujue unaishi na mtu wa namna gani na wale sio mpita njia
Usimfungulie mlangoHyo n kero haswaa mimi mwenyewe nshamwacha janaume kutwaa kuja kwangu bila taarifa hata sa nane za usiku utafkir kwake hata kodi hanilipii shenzzz n sahihi kero hizo bora uwe single tu
Ni ukweli kbs, km umempenda vya kutosha huwez mchoka, ata aje saa nane za usiku, cha kwanza utashtuka kwa kuhisi lbd Kuna shida imempata, Ila ukishajua kuwa hakuna shda yyt, unabakia na furaha, huwez chukia. Mi sidhani km Kuna shida apo.Mkipendana hakuna kero. Ila kama haumpendi nikerosana
Umenena sawia mkuu, hakuna upendo Kati yao.Sasa mbona hizo kero ndio mapenz yenyewe...?
Mi nadhan kero ni pale mtu anapo lazimisha ufanye vitu vilivyo nje ya uwezo wako...
Kama kitu kipo ndan ya uwezo wako na unaona kero kufanyia mwenzi wako basi hapo kero ni upendo hakuna upendo Kati yenu
Zawadi ipi?Aiseee ingawa sina tabia ya kuomba mwanaume hela ila siwezi mwomba mwanaume elfu 10, hata niwe na shida gani siwezi bora nikope kwa shoga yangu. Ikitokea nikamuomba mwanaume hela namuomba 100000, 200000 etc inategemea lengo nililo nalo.
Mmoja alikuwa msumbufu mme wa mtu. Sinaga time na waume za watu na namjua ni bahili ili nimfukuze kabla hajaomba mengine nikamuomba 300000 nina shida nayo. Akalalamika ni kubwa nikamwambia nina shida na hiyo kubwa .From zeya akakata mawasiliamo. Nilifurahi sana. Maana alivyo good looking niliogopa kumwambia simtaki nkajua just lak3 itamuondoa.
Mwingine najua ni bahili. Wala hanipi shida coz siko kwenye mahusiano nae hata akiondoka sina cha kupoteza.ni just kusogeza siku na vi sms tu na vile yupo mbali akuuuu, nataka aondoke mwenyewe coz ni mbahili sana. Nimemuomba just laki moja. Kalalama nikatuma vikatuni vya kucheka. Nakili sina shida na hiyo laki.basi tu nataka aondoke. Coz mm siombagi mwanaume hela. Mm mwanaume ananipa hela mwenyewe. Ukiona nimekuomba ujue nataka kuondoke mwenyewe.
Kuna njia natumia unipe mwenyewe ila sio kutamka naomba hela.
Kuna mmoja sikutaka hata mawasiliano nae nikamuomba laki 3, kaituma baada ya lisaa, kiukweli nilikuwa sina hata na hisia nae, na kizuri alikuwa mbaliiiiii sana. Nikairudisha nikamwambia nilikuwa nakutani coz nilijua ataniganda. Alivyo mpole akatuma laki moja akasema niitumie coz. One time nilimsaidia mtoto wa dada yake kabla sijajuana nae. (Najuana na dada yake mtoto alifikia kwangu akienda shule. Nafikili aliwambia nilivyomnunulia akienda shule.) kaishia hapo na sijawahi onana nae face to face. Sijui alipo.[emoji2][emoji2][emoji2]
Dear men ukiona mwanamke kakuomba hela direct jua hakupendi. Ukiona anatumia indirect ways jua anashida ila anakuogopa coz anakupenda so. Hivyo vitu vieleweni tu.
Pongezi kwenu wanaume mnaotoa bila kuomba. Maana na sisi tunawalipa kwa kuwapa zawadi.
Umenichekesha na kunikumbusha kituko cha mshikaji....room mate wangu alikuwa anampuyanga mdada mtaa kama wa 4 toka hapa kwetu. Hayakuwa mapenzi ya kweli kwani mshikaji aliweka bayana kuwa hataki demu kwa sasa na demu akakubali. Cha kushangaza baada ya kumduu yule demu si akaja badilika ghafla, akawa anakuja nyumbani na akinikuta mimi anakasirika na kumwambia mshimaji kwanini anaishi na mimi asitafute chumba awe huru ili akija wawe wote. Mshikaji akashangaa na kumkumbusha alimwambia nini siku za mwanzoni, eti demu kakasirika na kumlaumu mshikaji kuwa hampendi anataka kumtumia tu. Jamani wanawake, hivi nani anawaroga?
Si mavazi na viatu kwan mwanamke anatoaga zzawadi gani tofauti na hivyo?Zawadi ipi?