Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,405
- 191,535
Third year happened...tukawa mikoa tofauti what more can i say man 😂😂😂??? She having a baby boy now by her first bf wanalea.Then after, what happened?

Hahaha mkuu umeona fursa chap.Hahaha, kwa hiyo mkuu upo single, vp nizame PM tuyajenge?
Aiseee ingawa sina tabia ya kuomba mwanaume hela ila siwezi mwomba mwanaume elfu 10, hata niwe na shida gani siwezi bora nikope kwa shoga yangu. Ikitokea nikamuomba mwanaume hela namuomba 100000, 200000 etc inategemea lengo nililo nalo.Mwengine anadai hela kama alikukopesha vile kumbe ni hisani tu.
Juzi nimekutana na mwamba MPesa kibandani. Jamaa analalamika demu anampigia simu mfululizo yani hapumui. Hadi kakasirika badala ya 10k katuma elf 5 tu kumkomesha maana msumbufu sana.
Zawadi ipi mrembo😂? Uchumi wa kati au?!Aiseee ingawa sina tabia ya kuomba mwanaume hela ila siwezi mwomba mwanaume elfu 10, hata niwe na shida gani siwezi bora nikope kwa shoga yangu. Ikitokea nikamuomba mwanaume hela namuomba 100000, 200000 etc inategemea lengo nililo nalo.
Mmoja alikuwa msumbufu mme wa mtu. Sinaga time na waume za watu na namjua ni bahili ili nimfukuze kabla hajaomba mengine nikamuomba 300000 nina shida nayo. Akalalamika ni kubwa nikamwambia nina shida na hiyo kubwa .From zeya akakata mawasiliamo. Nilifurahi sana. Maana alivyo good looking niliogopa kumwambia simtaki nkajua just lak3 itamuondoa.
Mwingine najua ni bahili. Wala hanipi shida coz siko kwenye mahusiano nae hata akiondoka sina cha kupoteza.ni just kusogeza siku na vi sms tu na vile yupo mbali akuuuu, nataka aondoke mwenyewe coz ni mbahili sana. Nimemuomba just laki moja. Kalalama nikatuma vikatuni vya kucheka. Nakili sina shida na hiyo laki.basi tu nataka aondoke. Coz mm siombagi mwanaume hela. Mm mwanaume ananipa hela mwenyewe. Ukiona nimekuomba ujue nataka kuondoke mwenyewe.
Kuna njia natumia unipe mwenyewe ila sio kutamka naomba hela.
Kuna mmoja sikutaka hata mawasiliano nae nikamuomba laki 3, kaituma baada ya lisaa, kiukweli nilikuwa sina hata na hisia nae, na kizuri alikuwa mbaliiiiii sana. Nikairudisha nikamwambia nilikuwa nakutani coz nilijua ataniganda. Alivyo mpole akatuma laki moja akasema niitumie coz. One time nilimsaidia mtoto wa dada yake kabla sijajuana nae. (Najuana na dada yake mtoto alifikia kwangu akienda shule. Nafikili aliwambia nilivyomnunulia akienda shule.) kaishia hapo na sijawahi onana nae face to face. Sijui alipo.😃😃😃
Dear men ukiona mwanamke kakuomba hela direct jua hakupendi. Ukiona anatumia indirect ways jua anashida ila anakuogopa coz anakupenda so. Hivyo vitu vieleweni tu.
Pongezi kwenu wanaume mnaotoa bila kuomba. Maana na sisi tunawalipa kwa kuwapa zawadi.
Nguo,viatuZawadi ipi mrembo😂? Uchumi wa kati au?!
Sema kwa hio mizinga unaonesha upo njema kweri kweri. Sio dem cheap hongera sana ila uzuri sie wahuni tunawamegaga kisela
Huyo mwamba hata hajamkomesha ana moyo mzuri tu, kwa hela yangu Mimi ukishanilazmisha umeikosa hata 500 huambuliiMwengine anadai hela kama alikukopesha vile kumbe ni hisani tu.
Juzi nimekutana na mwamba MPesa kibandani. Jamaa analalamika demu anampigia simu mfululizo yani hapumui. Hadi kakasirika badala ya 10k katuma elf 5 tu kumkomesha maana msumbufu sana.
HahahaWanawake wana mambo ya ajabu sana
Utasikia uko wapi!?mbona nasikia sauti za watoto!? Mara naomba niongee na konda.. Shenzi sana yule dada.
Hyo n kero haswaa mimi mwenyewe nshamwacha janaume kutwaa kuja kwangu bila taarifa hata sa nane za usiku utafkir kwake hata kodi hanilipii shenzzz n sahihi kero hizo bora uwe single tu
Zamani nilikuwa na moyo wa kutoa bila kuombwa lakini malipo yake yakinibadlisha pakubwa mno, nimeipenda hiyo sehem uliyosema mwanamke anayekupenda hakuombi hela, ubarikiwe saanaAiseee ingawa sina tabia ya kuomba mwanaume hela ila siwezi mwomba mwanaume elfu 10, hata niwe na shida gani siwezi bora nikope kwa shoga yangu. Ikitokea nikamuomba mwanaume hela namuomba 100000, 200000 etc inategemea lengo nililo nalo.
Mmoja alikuwa msumbufu mme wa mtu. Sinaga time na waume za watu na namjua ni bahili ili nimfukuze kabla hajaomba mengine nikamuomba 300000 nina shida nayo. Akalalamika ni kubwa nikamwambia nina shida na hiyo kubwa .From zeya akakata mawasiliamo. Nilifurahi sana. Maana alivyo good looking niliogopa kumwambia simtaki nkajua just lak3 itamuondoa.
Mwingine najua ni bahili. Wala hanipi shida coz siko kwenye mahusiano nae hata akiondoka sina cha kupoteza.ni just kusogeza siku na vi sms tu na vile yupo mbali akuuuu, nataka aondoke mwenyewe coz ni mbahili sana. Nimemuomba just laki moja. Kalalama nikatuma vikatuni vya kucheka. Nakili sina shida na hiyo laki.basi tu nataka aondoke. Coz mm siombagi mwanaume hela. Mm mwanaume ananipa hela mwenyewe. Ukiona nimekuomba ujue nataka kuondoke mwenyewe.
Kuna njia natumia unipe mwenyewe ila sio kutamka naomba hela.
Kuna mmoja sikutaka hata mawasiliano nae nikamuomba laki 3, kaituma baada ya lisaa, kiukweli nilikuwa sina hata na hisia nae, na kizuri alikuwa mbaliiiiii sana. Nikairudisha nikamwambia nilikuwa nakutani coz nilijua ataniganda. Alivyo mpole akatuma laki moja akasema niitumie coz. One time nilimsaidia mtoto wa dada yake kabla sijajuana nae. (Najuana na dada yake mtoto alifikia kwangu akienda shule. Nafikili aliwambia nilivyomnunulia akienda shule.) kaishia hapo na sijawahi onana nae face to face. Sijui alipo.😃😃😃
Dear men ukiona mwanamke kakuomba hela direct jua hakupendi. Ukiona anatumia indirect ways jua anashida ila anakuogopa coz anakupenda so. Hivyo vitu vieleweni tu.
Pongezi kwenu wanaume mnaotoa bila kuomba. Maana na sisi tunawalipa kwa kuwapa zawadi
Lakini lazima uwe unamuhudumia raha sivyo ataogopa kukuomba ili asikupoteze ila atamuomba mwingine hata kwa kukukopa which is good.Zamani nilikuwa na moyo wa kutoa bila kuombwa lakini malipo yake yakinibadlisha pakubwa mno, nimeipenda hiyo sehem uliyosema mwanamke anayekupenda hakuombi hela, ubarikiwe saana
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ushamba wa watuHyo n kero haswaa mimi mwenyewe nshamwacha janaume kutwaa kuja kwangu bila taarifa hata sa nane za usiku utafkir kwake hata kodi hanilipii shenzzz n sahihi kero hizo bora uwe single tu
Dada una roho nzuri upo wapi na mm niktume mdogo wangu afikie kwako[emoji38][emoji38][emoji122] u derseve to be smart..keep it upAiseee ingawa sina tabia ya kuomba mwanaume hela ila siwezi mwomba mwanaume elfu 10, hata niwe na shida gani siwezi bora nikope kwa shoga yangu. Ikitokea nikamuomba mwanaume hela namuomba 100000, 200000 etc inategemea lengo nililo nalo.
Mmoja alikuwa msumbufu mme wa mtu. Sinaga time na waume za watu na namjua ni bahili ili nimfukuze kabla hajaomba mengine nikamuomba 300000 nina shida nayo. Akalalamika ni kubwa nikamwambia nina shida na hiyo kubwa .From zeya akakata mawasiliamo. Nilifurahi sana. Maana alivyo good looking niliogopa kumwambia simtaki nkajua just lak3 itamuondoa.
Mwingine najua ni bahili. Wala hanipi shida coz siko kwenye mahusiano nae hata akiondoka sina cha kupoteza.ni just kusogeza siku na vi sms tu na vile yupo mbali akuuuu, nataka aondoke mwenyewe coz ni mbahili sana. Nimemuomba just laki moja. Kalalama nikatuma vikatuni vya kucheka. Nakili sina shida na hiyo laki.basi tu nataka aondoke. Coz mm siombagi mwanaume hela. Mm mwanaume ananipa hela mwenyewe. Ukiona nimekuomba ujue nataka kuondoke mwenyewe.
Kuna njia natumia unipe mwenyewe ila sio kutamka naomba hela.
Kuna mmoja sikutaka hata mawasiliano nae nikamuomba laki 3, kaituma baada ya lisaa, kiukweli nilikuwa sina hata na hisia nae, na kizuri alikuwa mbaliiiiii sana. Nikairudisha nikamwambia nilikuwa nakutani coz nilijua ataniganda. Alivyo mpole akatuma laki moja akasema niitumie coz. One time nilimsaidia mtoto wa dada yake kabla sijajuana nae. (Najuana na dada yake mtoto alifikia kwangu akienda shule. Nafikili aliwambia nilivyomnunulia akienda shule.) kaishia hapo na sijawahi onana nae face to face. Sijui alipo.[emoji2][emoji2][emoji2]