Hao mademu wenu wa uswazi kutwa kwenda kuuza nyago ushuani.. Nenda leo pale Jangwani utavikuta vimejazana vinawinda watoto wa ushuani teh teh..
Huko Instagram ndio usiseme kazi yao kubwa kuwashabikia watoto wa ushuani kama akina wema et al.. watoto wa uswazi bwana
Wapo wa ushuani hawana matatizo mdauSafi,
Uswazi ndiko wanajua kwa kweli.
Ushuani mashariti kibao, nafikria kurudi nyumbani!
Jangwani hii nayoifahamu mie au?If so pale wanawawinda watoto wa ushua upi?
Wapo wa ushuani hawana matatizo mdau
Habariiiiiiii zenu bhana?
Unataka kujua mapenzi ya kweli na matamu yalipo? Njoo uswazi,Mfano huku kwetu Tandale Kwa Mtogole jamani utapendwa weeee mpaka utaumwa
#Huku watu wanajua kujituma wawapo sita kwa sita sio kama wa uko ushuani
#ukiitaji game mda wowote unapewa sio kama wa uko mara Oooh mie nimechoka subiria wikiend brabraa nyiiiingi
#Alafu mademu wa huku hawana garama sana kama wa uko! mara baby njaa inauma ila nataka nikale mliman city au serena hotel,Oooh baby fashion mpya ya nguo imeingia kama aliyovaa rihanna,amber rose nk
Aujachelewa epuka mastress njoo Uswazi upumzishe moyo
*ONYO:ukitongoza usiwe unajiproud
Mwenye kisu kikali ndio anaekula nyama,yeye na swaga zake tu!
Akija vibaya atachunwa buzi weee mpaka aombe poooo
Huku mzee mzima kesha tonywa kwamba kuna boya kajilengesha ngoja tumuonyeshe jiji then deal agreed at the end deal done unakula za uso na ushua wako
Mtupe,kaanga wazima.............Samaki mmoja akioza.....
Mtupe,kaanga wazima.............
Mazingira au mambo yanayoendelea pale huwa si rafikiKivipi?
Tunabaniwa sana,we hujui tu.Tandale,Manzese,Kinondoni,Mwananyamala hadi kwa mkopo unapewa tu...,wanaokaa pande wanafaidi sana...