Mapenzi yanaumiza

Mapenzi yanaumiza

Duniani hapa hakuna kitu kinachoumiza kama mapenzi haswa ukute unampenda mtu hakupendi, au unampenda mtu anakutenda. Baada ya misukosuko mingi ya kimapenzi sitapenda tena! wala sitojaribu kumwambia msichana/mwanamke "nakupenda"

Haha polesana mkuu, inabidi iwe hivo tu ili kukomaa zaidi, mda utafika na utapenda tena
jaribu kuchukilia kama changamoto tu hayo makwazo ya mapenzi
 
mapenzi hayakwepeki wether unataka au hautaki hata upige job mass 16 kwa siku huwezi ukakosa time ya kuyawaza walau kuyafikiria hata kidogo.

walau yale mambo yetu ya sabuni na kikopo

mnatulia bafuni

team bazazi mpooo??
 
Kusema hutopenda tena ni kuidhulumu nafsi..!

Amini tuu.... Iko siku utampata mwenye mapenzi ya kweli..!
 
Duniani hapa hakuna kitu kinachoumiza kama mapenzi haswa ukute unampenda mtu hakupendi, au unampenda mtu anakutenda. Baada ya misukosuko mingi ya kimapenzi sitapenda tena! wala sitojaribu kumwambia msichana/mwanamke "nakupenda"
sio kesi its you who should throw the coin you can have a sex without relationship or you can relationship without sex if that s suit you kama huwezi kuvihandle vyote viwili kwa pamoja na vinakuumiza mtima wako
 
Kwanza pole kaka, thn usiseme ilo neno kabisa, unajua kwamba % ndogo sana ya wachumba ndio wanaokua wanandoa? Wanandoa waliowengi na wanaoishi kwa amani ni wale wasiofahamia kabla....ndoa nyingi ni kama suprise kwa kila mmoja....nnachokushauri tafuta wakuoa sasa sio girlfriend
Kwani akiwa na mke ndio hawezi kuumizwa na mapenzi? Kwamba gf/bf ndio wanaumiza tu kimapenzi?
 
Yanaumiza,yanakera,yanachanganya akili lakin hutakiwi kusema hutapenda tena,kuna wakati utafika utadumbukia tena kwa mtu mwingine nakusahau maumivu,mapenz ni mchezo mchafu sana
 
Duniani hapa hakuna kitu kinachoumiza kama mapenzi haswa ukute unampenda mtu hakupendi, au unampenda mtu anakutenda. Baada ya misukosuko mingi ya kimapenzi sitapenda tena! wala sitojaribu kumwambia msichana/mwanamke "nakupenda"

Ukiwa na roho nyepesi kwenye mapenzi utateseka sana,utajikuta hata hutamani kuoa. Pole sana mkuu. Maisha lazima yasonge mbele na unatakiwa umpende mke wako...
 
Back
Top Bottom