Mapenzi yanaumiza

Mapenzi yanaumiza

poleee mwenzio nishakuwa sugu.. nimeachwa nikaacha so nimeshazoea. usiseme hutopenda utakuja kupenda tena. kikubwa tu ni kumwomba Mungu akupe anaekupenda na ww pia umpende.
 
unampa mtu moyo asilimia mia afu anajua, mwisho maumivu yasiyopona ..
yaani sina hisia hata kidogo
 
Duniani hapa hakuna kitu kinachoumiza kama mapenzi haswa ukute unampenda mtu hakupendi, au unampenda mtu anakutenda. Baada ya misukosuko mingi ya kimapenzi sitapenda tena! wala sitojaribu kumwambia msichana/mwanamke "nakupenda"

Kwa hiyo utaiambia sabuni?
 
pole sana,tupo wengi sana tulioumizwa!kwa jinsi me nilivyotendwa kwakweli mpk sasa mwanaume akinitongoza naogopa mno!bora kuwa pekee tu kuliko kupenda mtu asiyejua thamani yako.
 
unampa mtu moyo asilimia mia afu anajua, mwisho maumivu yasiyopona ..
yaani sina hisia hata kidogo

kwenye mapenz kuna tamu na shubiri ndo hiyo sasa kuumizwa unaweza hisi kufa.. kufa hufi ila cha moto utakiona.
 
pole sana,tupo wengi sana tulioumizwa!kwa jinsi me nilivyotendwa kwakweli mpk sasa mwanaume akinitongoza naogopa mno!bora kuwa pekee tu kuliko kupenda mtu asiyejua thamani yako.

Pole sana, lakini vitu hivyo katika maisha haviepukiki, we mshukuru Mungu life linasonga naamini kuna mtu atakupenda na hata kuumiza usiconclude wanaume wote ni waumizaji
 
Wengine tuna mioyo ya chuma, me nilishampendaga mtu akaja akaniacha bila sababu yoyote, unaumia siku ya kwanza ya pili unasonga. Kesho kutwa unapenda tena. Ni kama jamvi kuchanika haiwezi kua mwisho wa maongezi
 
Pole mapenz n ushenz flan tu,,tafuta ela mapenz yatakutafuta ynyewe
 
time will heal u...
mapenzi matamu sana na utamu wake hauelezeki ukimpta anaekupenda

jitahid kwa mvumilivu soma alama za nyakati.....
 
JF mi naipenda kwa sababu angalau unapata mahali pa kuongelea uchungu unapungua mi nakumbuka kipindi hicho tunaanza unamuonesha kila mtu kuwa unampenzi (afu chuoni).kumbe mwenzako ana kulia rada tu aisee siku ka kosa kaajabu tu nimeomba samahani mpaka basi kuja kujua kumbe kakosa kale kalikuwa kanangojewa saa hivi mpole ni mbaya unaumia kuwaambia marafiki naona aibu kumwambia mmoja tu utasikia Si mbona tulijua kitambo.Aya mambo yanaumiza aisee mpaka miguu inakosa nguvu unapoteza ham ya mpaka kula.kuwa mvumilivu ndugu siku moja utapata wako.jf is a close friend from the far distance.
 
mimi nimeamua nipiikgike job tu yaan nadhan ndo mkomboz wangu vinginevyo janga
tafuta tu ela

mapenzi hayakwepeki wether unataka au hautaki hata upige job mass 16 kwa siku huwezi ukakosa time ya kuyawaza walau kuyafikiria hata kidogo.
 
Kwanza pole kaka, thn usiseme ilo neno kabisa, unajua kwamba % ndogo sana ya wachumba ndio wanaokua wanandoa? Wanandoa waliowengi na wanaoishi kwa amani ni wale wasiofahamia kabla....ndoa nyingi ni kama suprise kwa kila mmoja....nnachokushauri tafuta wakuoa sasa sio girlfriend

nakuhakikishia huyu jamaa akioa halafu akakuta mke ndio mambo yaleeeeeeee ya kuchapiwa siri ya ndani na vurugu kibao atakulaumu sana, pia anaweza kujiua kwa kujiona hana bahati maishani.
 
Time will tell!!!
ha haaa, rafiki tusubiri tu, muda si mrefu atatuambia jinsi alivyozama mapenzini......
haka kaujumbe kake huwa watu wengi wanakatumiaga lakini wanashindwa kukaishi, chezeya mapenzi weye
 
ha haaa, rafiki tusubiri tu, muda si mrefu atatuambia jinsi alivyozama mapenzini......
haka kaujumbe kake huwa watu wengi wanakatumiaga lakini wanashindwa kukaishi, chezeya mapenzi weye

Atakuja kuyakana aliyoandika rafiki,mapenzi!!!
 
Back
Top Bottom