Mapenzi yanaumiza

Mapenzi yanaumiza

raia_mwema

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Posts
479
Reaction score
314
Duniani hapa hakuna kitu kinachoumiza kama mapenzi haswa ukute unampenda mtu hakupendi, au unampenda mtu anakutenda. Baada ya misukosuko mingi ya kimapenzi sitapenda tena! wala sitojaribu kumwambia msichana/mwanamke "nakupenda"
 
Kwanza pole kaka, thn usiseme ilo neno kabisa, unajua kwamba % ndogo sana ya wachumba ndio wanaokua wanandoa? Wanandoa waliowengi na wanaoishi kwa amani ni wale wasiofahamia kabla....ndoa nyingi ni kama suprise kwa kila mmoja....nnachokushauri tafuta wakuoa sasa sio girlfriend
 
mimi nimeamua nipiikgike job tu yaan nadhan ndo mkomboz wangu vinginevyo janga
tafuta tu ela
 
Mapenzi yani now nimeyatoa kwenye priorities zangu maana
 
Nashukuru Mungu aliyenipa moyo wa kuyashinda maumivu hayo..ninaumia kwa muda mfupi then namove on with my life.
 
Maskini, pole, aliyekutenda ni mmoja usichukie dunia nzima.
 
Back
Top Bottom