Mapenzi yanaumiza

Mapenzi yanaumiza

30yrs
Vipi mlifunga ndoa au mlikuwa kwenye field ya ndoa??
Vp nlkuwa na malengo yoyote???
Kwanini wanaume mnatuumiza wanawake hisia zetu, najuta kupenda. Nilikua na mwanaume nilimpenda haswaa na ndiye mwanaume wangu wa kwanza, nina miaka 30, tatizo la huyu mwanaume ni malaya sanaa, anawanawake wengi, sasa nimeamua kumuacha, japo nikikaa namkumbuka lakini sitaki niendelee kuumia, nifanye nini ili nimsahau kabisa.
 
Duh... Bikira una miaka 30. Aisee hongera sana kwa kujitunza. Lakini nikupe pole kwa yaliyokufuata.
Cha msingi utumie muda huu kujikita na kuboresha uchumi, kama upo vema kiuchumi basi tengeneza hobby ya kukuweka busy.
 
Amekubikiri halafu akasepa. Na huyu huyu kesho na kesho kutwa utamkuta kwa akina Jokajeusi akilalamika kuwa siku hizi hakuna mabikra wa kuoa!

Kuhusu kuumia hakuna njia ya mkato binti yangu. Ni lazima uumie tu. Ila kwa kadri siku zinavyokwenda maumivu yataanza kupungua, kutaanza
Maneno mazito sana shukran umempa ushauri murua sana
 
Kwanini wanaume mnatuumiza wanawake hisia zetu, najuta kupenda. Nilikua na mwanaume nilimpenda haswaa na ndiye mwanaume wangu wa kwanza, nina miaka 30, tatizo la huyu mwanaume ni malaya sanaa, anawanawake wengi, sasa nimeamua kumuacha, japo nikikaa namkumbuka lakini sitaki niendelee kuumia, nifanye nini ili nimsahau kabisa.

Tutolee unafiki wako hapa 30 yrs mwanaume wako wa kwanza stupid you aint talking to kids here
 
Kwanini wanaume mnatuumiza wanawake hisia zetu, najuta kupenda. Nilikua na mwanaume nilimpenda haswaa na ndiye mwanaume wangu wa kwanza, nina miaka 30, tatizo la huyu mwanaume ni malaya sanaa, anawanawake wengi, sasa nimeamua kumuacha, japo nikikaa namkumbuka lakini sitaki niendelee kuumia, nifanye nini ili nimsahau kabisa.
Kwahyo alikukuta bk bdo?
 
Polee totoo...njoo tuungane pamoja 🤔🤔

Anzisha mahusiano mapya, Ila usipeane kwanza.
 
Kwanini wanaume mnatuumiza wanawake hisia zetu, najuta kupenda. Nilikua na mwanaume nilimpenda haswaa na ndiye mwanaume wangu wa kwanza, nina miaka 30, tatizo la huyu mwanaume ni malaya sanaa, anawanawake wengi, sasa nimeamua kumuacha, japo nikikaa namkumbuka lakini sitaki niendelee kuumia, nifanye nini ili nimsahau kabisa.
Kaza tu baada ya muda utapona.
Mapenzi ndivyo yalivyo hayana formula wala fundi.
 
Na mimi nashangaa. Watu wanatoa ushauri as if wao wana demu au Mke Mmoja kumbe nao wahuni tu. Sema tu huyo mwanaume kakosea tu kukuonesha tabia hizo live bila haya ila alitakiwa afiche ujinga wake na akuoneshe upendo ila ndo ivyo pole . anyway kupata mwanaume wa Peke ako wapo ila either awe mlokole sana , upungufu wa nguvu za kiume, hana shughuli ya kueleweka, au umloge.
Akiwa hana nguvu za kiume wengi huwa na visirani na huingia kweny ulevi na kuanza manyanyaso kwa wake zao. Hapo dawa ni amroge tu
 
Duh!

Mkuu. Ukivuka 35+ huko inabidi sasa uanze kutulia na ukazane kuweka mambo sawa. Utafukuzana na mbususu mpaka lini? Kwenu vijana labda. Ila kama binadamu wa kawaida at some point itakulazimu utulie...and yes...wanaume marijali, wenye vihela vyao na wana mwanamke mmoja waaminifu kabisa kabisa wapo!
Wako wengi tu sema huwa wanapata wanawake malaya
 
Pole sana ili uweze kumsahau fanya ibada kwa wingingi pia tumia makombe ya sahau hivyo vitakusaidia
Yeye aendlee kufany ibada na kujituma sana kwny kaz zake atamsahau hayo makombe aachane nayo
 
Back
Top Bottom