Kwanini wanaume mnatuumiza wanawake hisia zetu, najuta kupenda. Nilikua na mwanaume nilimpenda haswaa na ndiye mwanaume wangu wa kwanza, nina miaka 30, tatizo la huyu mwanaume ni malaya sanaa, anawanawake wengi, sasa nimeamua kumuacha, japo nikikaa namkumbuka lakini sitaki niendelee kuumia.
Nifanye nini ili nimsahau kabisa?
Nifanye nini ili nimsahau kabisa?

