BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
- Thread starter
-
- #101
Tell them ndugu yangu!!Kuna kisa kimoja, jamaa alikuwa na girl kabla ya kuoa bint akapata mimba, kujigungua mtoto albino, akamkataa mtoto, badae akaoa mwanamke mwingine, hawajapata mtoto hadi leo, so think twice
Dah!!! Umeongea mambo mazitoThe world is fair because it is unfair to everybody! People are not living their own life, full maigizo
inahitajika ukauzu ili uende nayo sawa, Unayemwamini kwa 100% ndiyo atakayekutendea baya kuliko asiyekujua,
Watu tuna maumivu yetu usione tupo kimya, Si Wapenzi, Si Marafiki saa zingine hadi ndugu!
Tulipofika unahitaji kuwa Kauzu zaidi ya dagaa Bhaasi!!!!
Swala la kumtenda Mwenzako inategemea na makubaliano yenu,
But take it from me Mambo hayako hivyo,
Rafiki yako wa karibu unamshirikisha mipango yako kumbe anakulia timing,
Msichana anamtambulisha Boyfriend wake kwa rafiki zake wa kike, walewale rafiki zake wanamzunguka!
Weka Ubinadamu Pembeni, Vinginevyo utapotea!
Nimependa sana video yake haswa pale mwishoni, mwanadada anarud anakuta hamna nafas tenaMapenzi ni matamu ila naogopa kuumiza moyo...nashindwa kujaribuuu roho inaniuma sana..( Christian bella)
Dah pole dadaDuuh, iliwahi kunikuta lakini nashukuru nilimalizana nae vzr,
Wakati naenda kuanza Chuo mwaka wa kwanza Nikakutana Na deleva tax akanitokea basi tukawa wapenzi yaani tulipendana sna, tena alikua mwanaume wangu wa kwanza kunitoa bikra. Yaan nilikua mwaminifu sna kwake, nae alinipenda nilivumilia hali yke ya kipato some time nikimuomba pesa ananitoa buku 3000, au buku5 maisha yanaenda. Tatizo likaja anataka tuoane yeye muslim na mm Christian aiseee yaan mm ktk mambo yote, bora nikose lakin sio kumkana Yesu. Aiseeee tulisumbuana sna lakini baadae tulielewana nikamruhusu atafute mwanamke wa dini yke aoe mm sipo tayari kubadili dini.
DAAAAAhhh pole sana ndugu yangu kati ya vitu muhimu kuviangalia kabla na wakati unapotaka kuingia kwenye ralation basi ni dini hapa ni pa muhimu sana ila bado hujachelewa ni hivi huyo ni mchumba wako una mambo mawili tu ya kufanya mmoja kumfuata au kuwa na msimamo wa dini yako na na kuachana naye maana hata ikitokea mkafunga hiyo ya serikali basi hapatakosekana migogoro au ukaamua kubadili najua utakuwa umefaya hivyo ili umpate lkn mwisho wa siku utataka kurejea kwenye dini yako hapo tayari unatengeneza mgogoro ushauri wangu ni vema ukaisimamia dini na imani yako iko kipindi itafika kila mtu itabidi aoane na yule wa dini yake hii ni kuepuka migogoro ya kiimani binafsi nilikuwa na tatizo kama hilo lkn mamuzi niliyochukua sitojutia maana naitetea imani yangu niliachana naye na wala sijuiti hata kidogoHili limekaribia kunikumba a have a lot of stress. Nilitaka kuomba ushauri nikasema nivumilie kidogo. kifupi Nina mahusiano na binti wa dini tofauti lakini tunapendana sana na mwaka huu nilipanga panapo majaliwa tuoane. tatizo Mwenzangu anataka Mimi nibadili dini nimfuate yeye, na hofu kubwa aliyonayo yeye kwao wanataka ndoa ya kiislam tu hawataki abadili wala hawataki ya serikali. na hivi karibuni amepata shinikizo na ameanza kubadilika na kuwa na msimamo mkali kuwa nibadili dini mimi kama sitaki tuachane. na Nina miaka zaidi ya 3 tupo kwenye relation na hatujawahi gombana kufikia hatua ya kutamani kuachana. sasa nina mtihani mkubwa hata jibu silipati yote ninayojaribu wazee wake wa imani kali anaogopa kutingwa. na Mimi sipo tiyar kamfuata mwanamke dini yake coz naamini katika dini yetu. ila tunapendana Sana Sana naomba ushauri wa kujenga please and please wadau.
big up huo ndio ukweli halisi kuwa na msimamo hahahaah Yesu kwanza mengine baadaeDuuh, iliwahi kunikuta lakini nashukuru nilimalizana nae vzr,
Wakati naenda kuanza Chuo mwaka wa kwanza Nikakutana Na deleva tax akanitokea basi tukawa wapenzi yaani tulipendana sna, tena alikua mwanaume wangu wa kwanza kunitoa bikra. Yaan nilikua mwaminifu sna kwake, nae alinipenda nilivumilia hali yke ya kipato some time nikimuomba pesa ananitoa buku 3000, au buku5 maisha yanaenda. Tatizo likaja anataka tuoane yeye muslim na mm Christian aiseee yaan mm ktk mambo yote, bora nikose lakin sio kumkana Yesu. Aiseeee tulisumbuana sna lakini baadae tulielewana nikamruhusu atafute mwanamke wa dini yke aoe mm sipo tayari kubadili dini.
hapo umemaliza kazi yako na hiyo itakuwa juu yake ww umeshafanya kikupasacho kufanyaKuna mwingine unaomba msamaha akusamehe anagoma katakata.Nifanyeje?
Curse ni ushirikina? Tafakar tenaAcheni uoga wa maisha, hivyo vitu havipo, curse ni imani za kishirikina tu, wazungu wamekuja afrika wamacharaza babu zetu bakora, wakaruka na bibi zetu na wakavunja mioyo ya watu wote wa kubwa kwa wadogo still hakuna kinacho wapata wako fresh tu na wanaendelea kututawala. Mapenzi yanapoisha lazima kuna mtu mmoja ataumia kwa wakati ule na mwingine ataumia baadae, huo ndio mshahara wa dhambi ya kuvunja mapenzi.
Kama hajakubal ni kaz burehapo umemaliza kazi yako na hiyo itakuwa juu yake ww umeshafanya kikupasacho kufanya
Ninachokiona kwako umekua brain washed, wapo watu hapa duniani hawajamfanyia mtu yoyote ubaya lakini mambo mabaya yanawatokea, its just a bad luck and that is their fate, in other words shit just happens. Wapo watu wamefanya mambo mabaya sana and still they enjoy to their last breath. I dont dispute kama hawata hukumiwa in life after death, what i see you have get it all wrong. Mahusiano ni zinaa kama hauko kwenye ndoa, hivyo basi laana (curse) ingekua kwa wao kuwa na mahusiano yanayovunja amri ya Mungu na siyo pale wanapoyavunja ili kushika amri ya Mungu. Jitafakari na hao manabii wenu uchwara,Curse ni ushirikina? Tafakar tena
hao wazungu unaowasemea nini kinawapata kila kukicha? Magaidi wanaoenda kujitoa muhanga kwemye nchi zao na ardhi yao na damu za wananchi wao zinamwagika...hio ni nini?? Kutwa kuchwa kusuluhisha vita ...hio ni nini?
Hata wananchi wao wakijikusanya mahali hawana amani mana wanajua mda wowwote mtu anaweza akafanya attack...acha hio...wazungu hao hao vijana wanaingia katika makanisa na seheem za kuangalia sinema na bar na mashule na kuanza kuwafyatulia risasi wamerekan wenzao..hio nayo ni nini?? Unasemaje kua hawajaptwa na chochote? Mana hao wanapoenda kuwafanyia ubaya nchi zingine na wao damu za wananchi wao zinamwagika.
Kama huniamin nenda kamfanyie mtu yeyote ubaya sio lazima awe mpenz wako, anaweza kua ndugu, mzazi, rafiki n.k halaf uendelee na maisha yako halafu kuna sik utakuja kuelewa kinachozungumziwa hapa
Sijawa brain washed na swez kua kamwe, angekua uchwara asingepata waumin weng bas na waumin wake ni brain washed hahaah...anyway point yang sio nabii na silazimish mtu kumuamini nabii whom you so called uchwara ...lakin kupuuzia mambo huku ni sabaabu mara nyingi wanaopuuzia ma kudharau hayajawahi kuwakuta siku yanakukuta ndio utajua ..haya mambo yapo na vipo its up to you to believe or not to believe so if you choose not to believe well thats your opinion and cant change that.Ninachokiona kwako umekua brain washed, wapo watu hapa duniani hawajamfanyia mtu yoyote ubaya lakini mambo mabaya yanawatokea, its just a bad luck and that is their fate, in other words shit just happens. Wapo watu wamefanya mambo mabaya sana and still they enjoy to their last breath. I dont dispute kama hawata hukumiwa in life after death, what i see you have get it all wrong. Mahusiano ni zinaa kama hauko kwenye ndoa, hivyo basi laana (curse) ingekua kwa wao kuwa na mahusiano yanayovunja amri ya Mungu na siyo pale wanapoyavunja. Jitafakari na hao manabii wenu uchwara,
Being in relationship outside of marriage is fornication or adultery, it is forbidden and it is a sin. How can one curse another out of sinful relationship? Its simple like this, can a thief curse to another thief? HAYA MAMBO YANATAKA UFIKIRI OUTSIDE THE BOXSijawa brain washed na swez kua kamwe, angekua uchwara asingepata waumin weng bas na waumin wake ni brain washed hahaah...anyway point yang sio nabii na silazimish mtu kumuamini nabii whom you so called uchwara ...lakin kupuuzia mambo huku ni sabaabu mara nyingi wanaopuuzia ma kudharau hayajawahi kuwakuta siku yanakukuta ndio utajua ..haya mambo yapo na vipo its up to you to believe or not to believe so if you choose not to believe well thats your opinion and cant change that.
ukweli unabaki pale pale kwamba whatever goes around always comes around. Take it or leave it.
haiwezi kuwa kazi bure maana msamaha kuna viwili akubali au akatae lkn ni vema angekubali tumehaswa kusamehe na kutokusamehe kunazuia baraka za Mungu maishani mwetu na pia inaharibu afya zetu lkn mm nikikukosea nakaja kukuomba msamaha inaanisha nimejua kosa langu kwako na nikajua napaswa nikuombe msamaha kwa kile nilichokutendea sasa basi wewe ukikata kusamehe hata mbele za Mungu mm sitakuwa na hatia na kosa litabaki kwako mimi nitakua nimenawa mikono hapoKama hajakubal ni kaz bure
na by the way kwanini asikubal ama akatae means kitu ulichomfanyia ni kikubwa sana ambacho wakat mwingine inabid baadh ya watu washirikishwe
inategemea huyo alimfanyia nini kuna mambo mengine yanaaumiza sana na sio kaz ndogo mtu akubal tu haraka kwamba amekusamehe. Take it or leave it.