mamaafacebook II
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,513
- 3,553
Bas naona nafuu alie awezavyo alie sana kuondoa yaliyokuwamo moyoni Ila la kujidhuru naona atafika mbali Na kubaya zaidiHiyo ni learning process anatakiwa ipitie kikamilifu i think its better we let her be. She ll learn.
Though i applaud your idea pia
