Mapenzi yanaumiza

Mziwandawamama

JF-Expert Member
Apr 13, 2015
1,309
2,000
Nimekupenda with all my heart regardless hali duni yako.Nimekataa nusra kibao kwa ajili yako.Sikua mchoyo kwa chochote changu tulishirikiana,leo umeamua kufunga mwaka na mimi.Najua unanisoma hapa na ushajifahamu ila tambua siku zote ukimfanyia mtu madhila tegemea kulipwa hapa hapa akhera twaenda kuchukua hisabu tu..
Nachukua fursa hii kukuageni wana MMU wote na jf kwa ujumla nataka kuchukua maamuzi magumu.asanteni nawapenda
 

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
23,106
2,000
nikikataa wanaume watu wanasema ooh nimechanganyikiwa ni upuuzi kuwekeza kwenye mapenzi ,mwaka mzima umewekeza kwa mtu ona faida yake ila ungekuwa umewekeza kwenye maisha ungenunua japo vihisa vyako crdb au nmb siku kumi zijazo ungepata gawio lako japo dogo .asante Mungu kunipa uvumilivu .
pole sana mdada usijiue maisha ndivo yalivo humu
 

Jagarld

JF-Expert Member
Apr 7, 2011
1,993
2,000
Mmmhhh......!


Ungetujulisha mtaaa/sehemu unayoishi ili tukiona turbai tujumuike kukuaga mpendwa!
 

Inog01

JF-Expert Member
Mar 26, 2015
1,249
2,000
Ilimradi yasimuathiri mtu mwingine,utekelezaji mwema japo mmu bado inakuhitaji.
 

supermarket

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
7,287
2,000
Deka unavyo Deka kama mtoto
Nitakubembeleza mimi wako oh
Nita zidi kupa vitu moto moto
Mapenzi kupendana sii mchezo
Nakusihi usijeniacha mimi solemba
Najisihi na mimi nisije kuacha wewe solemba

Usiende mbali nami
Kwani bado nakupenda
Usiondoke mbali nami
Mimi bado nakupenda

Ma umi vu ya mapenzi naogopa sanaa
Hata wivu ni nao kwani sina roho ya chuma.
 

chief1

JF-Expert Member
May 4, 2015
1,243
2,000
Dada yangu jamani yaani ujiue kisa kajamaa kamoja tu na huo urembo wako wote, hivi hujui kuwa wewe ni Lulu, huijui thamani yako?
Tuliza moyo bhana wanaume tupo wengi sana, epuka kifo cha aibu
 

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,155
2,000
Mapenz yanaumiza sana zaid ukimpenda mtu ambae anakuchukulia poa tu..ila naomba ndugu usijiue ama kuua. Think twice.
 

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,155
2,000
nikikataa wanaume watu wanasema ooh nimechanganyikiwa ni upuuzi kuwekeza kwenye mapenzi ,mwaka mzima umewekeza kwa mtu ona faida yake ila ungekuwa umewekeza kwenye maisha ungenunua japo vihisa vyako crdb au nmb siku kumi zijazo ungepata gawio lako japo dogo .asante Mungu kunipa uvumilivu .
pole sana mdada usijiue maisha ndivo yalivo humu
Ama kweli.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom