Mapenzi yanaumiza

Mapenzi yanaumiza

Habari za jioni,napenda kuwashukuru wote mliojali na kuamua kutoa muda wenu kunishauri hapa ama pm asanteni sana.Kiukweli mmenipa moyo wa ujasiri na sasa nipo ok na imara kiasi cha kuweza kukabiliana na challenge yoyote ile ntakayokumbana nayo.again thanx people,be blessed,and I love you.
Asante hujatimiza ile azma yako mbaya...

Mahusiano ndivo yalivyo,usivunjike moyo
 
polesana kisura
usinichekeshe ati, unataka kupoteza uhai ambao hamna mwingine anagawa zaidi ya Mungu kisa mwanaume?
mimi nimekaa kwenye mahusiano miaka 8 na nikamuacha kwasababu ya hayo hayo unayolalamika masamakwetu mbona sijafa? na maisha yanaenda vizuri kuliko alivyokuwepo!

acha ujinga, wanaume wapo tu fanya mambo yako mpaka utakapoitwa na Muumba unajipeleka kwani umeitwa?

ila ukienda kwa Baba Msalimie Yesu na Mungu na Roho Mtakatifu, waambie Money Penny anaandika stori mpya inaitwa ****! wanirushie ma-idea!
 
Nimekupenda with all my heart regardless hali duni yako.Nimekataa nusra kibao kwa ajili yako.Sikua mchoyo kwa chochote changu tulishirikiana,leo umeamua kufunga mwaka na mimi.Najua unanisoma hapa na ushajifahamu ila tambua siku zote ukimfanyia mtu madhila tegemea kulipwa hapa hapa akhera twaenda kuchukua hisabu tu..
Nachukua fursa hii kukuageni wana MMU wote na jf kwa ujumla nataka kuchukua maamuzi magumu.asanteni nawapenda
Pole sana
 
Habari za jioni,napenda kuwashukuru wote mliojali na kuamua kutoa muda wenu kunishauri hapa ama pm asanteni sana.Kiukweli mmenipa moyo wa ujasiri na sasa nipo ok na imara kiasi cha kuweza kukabiliana na challenge yoyote ile ntakayokumbana nayo.again thanx people,be blessed,and I love you.
Hongera
 
Back
Top Bottom