Comment ilikuwa inawahusu wanaoburuza wapenzi wao. Wapo wengi humuhuyo unayemburuza ndo unayempenda.?
Pole mkuu.Hata sisi wengne kabla hatujasalitiwa tulikuwa na huruma hivyohivyo. Ila baada ya kujua hawa wadudu hawana huruma nikuwaburuza tu.
Ila baada ya kujua hawa wadudu hawana huruma nikuwaburuza tu.
Hawa ni zaidi ya nyoka hawatakiwi huruma
Mweleze kuwa Kuburuzana ni both sides....na humu jf inaonekana wanaoongoza kwa kuburuzwa ni wanaume na wanaburuzwa mno ndio maana siku hizi wanaolialia wapo kila kona.Hao WADUDU ni pamoja na mama yako,dada zako,shangazi zako,na ndugu yako yeyote mwanamke uliye m-term kama "wadudu"