Mapenzi yanauma wajameni

Mapenzi yanauma wajameni

Sometimes kweli waweza kuletewa maneno na yakawa ya ukweli, ila hao mashost usiwaoneshe kama unaamini maneno yao, make ndo utakuwa unawapa nafasi ya kukuzoea na kukujazia umbea.
we wasikilize afu mtete shemeji kwa muda huo ila ukifika home, chumbani Heeeee mpe zake

ok thanx gal ntapunguza ukaribu nao ili kuondoa pressure hii
 
Unajiharibia mwenyewe. How do you call your self a gal and you get drunk? You have no class! Mtoto wa kike unalewa hadi.unajiachia maneno kama mfereji wa mikocheni? Ptuu!
 
mwenyewe anadenie anasema si kwel 200%,sasa nimwamini nani?am confused

Just be careful dear, careful abt ur friends & careful abt ur man, kwan mahusiano ya dunia ya leo ya marafik na wapenz hayaelewek u cn expect anything, i have been there
 
Back
Top Bottom