Mapenzi yanauma wajameni

Mapenzi yanauma wajameni

But are u sure hayo uliyoambiw hayana ukweli? sometimes lisemwalo lipo dada yangu, speaking from experience
 
Tena weka mbali maana unakuta na wao wanamtamanii ndio maana hawaivishik vimaneno

Vikikuona uko na mupenzi tena mpo kama wafilipino, vitaleta umbea, vitajifanya vinawajuaa...
mashost hawana maana
 
Marafiki wa kweli huweze kuwajua maana moyo wa mtu kichaka. Chagua mambo ya kushare nao na ya kwenu binafsi. Tafuta muda uongee naye nina imani atakuelewa.
 
Saa nyingine huwa tunaforce tuu ila sio kila mtu ambaye upo tuu karibu nae au kwa kuwa mmekua wote basi eti anaweza kuwa rafiki. Rafiki wa ukweli hawezi kukuumiza katika jambo lolote intetionally...
 
ndio imeshakula kwako

Huyo keshaghaili kama alikufukuzia mwaka mzima na December last year ukampa basi kwa vurugu za ulevi uliomfanyia ndiyo kesha pata sababu ya kulala mbele kwa kisingizio cha mke chapombe!
 
naogopa coz he was hurt yani nimefeel pain yake bt nilishindwa kuongea coz I was only crying

Pole xana! Thats hw luv goes!..ups,down n jelous are just normal things to make it more strong. Hata yeye alitaabika sana kukupata (1yr) b'se he lvs u! Tafuta appointment nae muongee mkiwa mmetulia i'm sure atakuelewa. Siku nyingine hata kama una feelings gani unataka kuonesha kwa mpenzi wako jaribu kuwa normal/fresh ndo mtaelewana katika maongezi yenu....pole xana ni kawaida iyo.
 
Tena weka mbali maana unakuta na wao wanamtamanii ndio maana hawaivishik vimaneno

yeah kwel wanamtamani kwan hawaishi kumsifia,oohh ana body ya ukweli na vitu kama hizo ila sikuwaza waweza fika huko
 
Huyo keshaghaili kama alikufukuzia mwaka mzima na December last year ukampa basi kwa vurugu za ulevi uliomfanyia ndiyo kesha pata sababu ya kulala mbele kwa kisingizio cha mke chapombe!

alokwambia mie chapombe nani?acha kuhukumu ndugu
 
Saa nyingine huwa tunaforce tuu ila sio kila mtu ambaye upo tuu karibu nae au kwa kuwa mmekua wote basi eti anaweza kuwa rafiki. Rafiki wa ukweli hawezi kukuumiza katika jambo lolote intetionally...

usemayo ni kweli nilidhani marafiki wa kweli kumbe snitches tu
 
Vikikuona uko na mupenzi tena mpo kama wafilipino, vitaleta umbea, vitajifanya vinawajuaa...
mashost hawana maana

true that coz toka wamejua niko naye kila day wanakuja na jipya....nimekuwa confused kwa kwel
 
Pole xana! Thats hw luv goes!..ups,down n jelous are just normal things to make it more strong. Hata yeye alitaabika sana kukupata (1yr) b'se he lvs u! Tafuta appointment nae muongee mkiwa mmetulia i'm sure atakuelewa. Siku nyingine hata kama una feelings gani unataka kuonesha kwa mpenzi wako jaribu kuwa normal/fresh ndo mtaelewana katika maongezi yenu....pole xana ni kawaida iyo.

thanx a lot ,wil do that
 
But are u sure hayo uliyoambiw hayana ukweli? sometimes lisemwalo lipo dada yangu, speaking from experience

mwenyewe anadenie anasema si kwel 200%,sasa nimwamini nani?am confused
 
Usiwasikilize hada kiduchu....

nilikuwa napuuza bt can u imagine everyday u go to work uwil hear ohhhh sm1 has done this,ihave met him smwhere with fulani,he is sleeping with this and that and blahblah....u know its hectic,am strong bt nimereach point I cant take it,n thats y I confronted him....
 
Sometimes kweli waweza kuletewa maneno na yakawa ya ukweli, ila hao mashost usiwaoneshe kama unaamini maneno yao, make ndo utakuwa unawapa nafasi ya kukuzoea na kukujazia umbea.
we wasikilize afu mtete shemeji kwa muda huo ila ukifika home, chumbani Heeeee mpe zake
 
Back
Top Bottom