ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,105
We jamaa [emoji3]Nliacha kupenda tangu siku amina aliponisaliti kwa maandazi mawili ya abdala
Tukiwa darasa la tatu
Sintopenda tena katu !
They say love is pain then honey.........
It kills me to know that you found somebody to love
Hio n mistari kwny baadhi ya nymbo za one republic, yanauma kweli
Pole mkuu.
Pole sana.
Nakuelewa sana.
Tutalivuka hili daraja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mbaya zaidi kupenda usipopendwa dah!
Halafu huyo unae mpenda anampenda mtu mwingine.😂😂😂😂😂😂mbaya zaidi kupenda usipopendwa dah!