Mapenzi yanauma jamaniii

Mapenzi yanauma jamaniii

Kinachokuuma hapo ni hujawahi kupewa mzigo na ile idea kwamba anaenda kupewa jamaa mwingine

Pole
Hapana dada kinachoniuma,huyo bwana ake mkoani ananizidi nini,huku kazini nalipwa 6 million kwa mwezi,ila namini atarudi acha akajufunze
 
Hiyo namba naifahamu, ngoja niongee nae huyo Khadija modo anieleze kwanini akufanyie mtima nyongo.
Sawa anko fanya mpango kama ukweli,mie jumamosi Kuna shoo ntapiga diesel hapa Kazini utakula posho ya maana, nisaidie naumia
 
Dogo ndio umejifunza kwa vitendo, hudumia yako ni fwaken tu...acheni shobo madogo!!!

Vijisenti vyako hivyo kwanini usidundulize ukaenda nunua hata kiwanja vikindu au shamba kibiti.Vijana wapumbavu kama wewe hamna faida kajiue tu!!!

Next time unajua cha kufanya bwana mdogo. Umekaribishwa kwenye real life kibingwa jipige kifuani sema HUTAIANGUSHA TENA MIZIMU YA KWENU,MAANA ILIKUWA IMEKASIRIKA VIBAYA MNO KWA UFALA WA KUHUDIMIA CHUPI AMBAYO HUIKULI.

Mapenzi ni GAME YA KUVIZIANA.UMEVIZIWA UMEBAMIZWA JIPANGE UPYA NA WEWE TAFUTA KIBONDE MBONYEZE.ACHA KUTIA HURUMA KIZEMBE!!!
Sawa anko nimekuelewa sana,ila kusema Mimi nilikuwa natoa vijisenti hiyo dharau sana Mimi siyo wa vijisenti mie nalipwa mil 6 kwa mwezi na posho ya kila km Moja ya Barbara nalipwa laki nne hiyo nje ya mshahara,demu wangu Khadija nilikuwa nampa ml 3 kila mwezi,kwa hiyo bro tueshimiane
 
Bwana mdogo unalipwa 6 figures alafu unadate madem wachafuwachafu we kweli famba.

Unamshahara mnono alafu mdomo mzito mwenetu🤣🤣🤣🤣we kakojoe ulale.Gademit!!!

Kama unalipwa hivyo anayekulipa hajielewi!!!


Si Vibaya Na Kama Hutojali..Embu Tueleze Kabila Lako...??
Mimi msukuma ntuzu ili mama mzanzibar
 
Wazee inakuejee mabibi inakueje,

Mimi ni muendesha katapila aka Greda aka skaveta, nimekuja mnisaidie Mimi Kuna demu nikikutana naye Dar anaitwa Khadija aka kimodoo, ulikuwa mwaka juzi ametoka kumaliza form six, sasa nikatupia swaga mtoto akakubali sababu Mimi ni mnyamwezi

Penzi likanogaa, sasa kinachoniuma kumbe alikuwa na mchumba huko mkoani, kwao Igunga, alikuwa anasubiri amalize shule amuoe, kibaya zaidi Mimi nimewekeza kila kitu kwake hela nimempa za kutosha na shoo akawa ananinyima akinambia yeye ni bikra nisubiri muda ufike atanipa😭😭😭

Sasa hivi ameondoka Dar na nikimpigia ameniblock, roho inaniuma sana nataka nikajiue siwezi kuishi bila yeye wanangu nisaidieni, nampendaaa sana imebaki TU kichwani namba yake ya halotel inaishia na 9829
Hongera mkuu shetani akupokee kwa amani kabisa tumia kamba za waya zikate kabisa na hio shingoo maana mama ako bora angekunywa P2
 
Huyu ni mhaya kabisa 😂😂😂 sasa mbona umeachwa
 
Back
Top Bottom