Mapenzi yanauma jamaniii

Mapenzi yanauma jamaniii

😂😂😂 na bora hata angeonjeshwa hata mara moja ili angalau abaki na faraja ya kuonjeshwa 😂
Yeye hakuna alichopewa zaidi ya block😭
Kuna mwaka flani niliachwa na kutiwa block. Nikawa nasajiri laini mpya hata 5 kwa siku..yaan akiblock naenda kwa wakala mwingine nasajiri nyingine nampigia..akisikia sauti yangu anatia block na mm siachi nabadirisha wakala wa kusajiri, nasajiri nyingine. Hivyohivyo mpaka pale moyo ulivyochoka na maumivu na manyanyaso ndo nikakubali na kuamini kwamba kweli sihitajiki tena. Nikaacha kusajiri line za simu na kuendelea na maisha mengine. Kuachwa na kutiwa block kunauma😅
 
Sawa anko nimekuelewa sana,ila kusema Mimi nilikuwa natoa vijisenti hiyo dharau sana Mimi siyo wa vijisenti mie nalipwa mil 6 kwa mwezi na posho ya kila km Moja ya Barbara nalipwa laki nne hiyo nje ya mshahara,demu wangu Khadija nilikuwa nampa ml 3 kila mwezi,kwa hiyo bro tueshimiane
😂😂😂. Ulikuwa unampa ya kazi gani sasa, baadala ya kusaidia wazazi wako, umekomaa na mang'amung'amu.
 
Kuna mwaka flani niliachwa na kutiwa block. Nikawa nasajiri laini mpya hata 5 kwa siku..yaan akiblock naenda kwa wakala mwingine nasajiri nyingine nampigia..akisikia sauti yangu anatia block na mm siachi nabadirisha wakala wa kusajiri, nasajiri nyingine. Hivyohivyo mpaka pale moyo ulivyochoka na maumivu na manyanyaso ndo nikakubali na kuamini kwamba kweli sihitajiki tena. Nikaacha kusajiri line za simu na kuendelea na maisha mengine. Kuachwa na kutiwa block kunauma😅
Kuna wakati moyo unamfanya mtu afanye maamuzi ya ajabu sana

Lakini cha kushukuru ni tuna-move on na maumivu huwa yanapungua

Sijawahi kuexperience block hata mara moja,nadhani ni maumivu ikitokea hivyo siku
 
Wanawake ni mara chache sana kupata block kutoka kwa wanaume. Wanawake ndo vinara wakulima block masela so yawezekana usijekuipata ila wewe ukamlima mchizi block.Kwenu ni kawaida na nahisi inasababushwa na ung'ang'aniaji wa sisi wanaume ni kama huwa hatuamini tumeachwa au labda tukibembeleza mwanamke atarudi kumbe mwenzio kaamua na anaona kero unavyojipigisha simu kulialia. Anakutia block tu kuepusha usumbufu.😁
 
Nauza kamba mkuu, haziumizi shingo
 
Kinachonifanya nifike level ya kublock mtu ni tusi tu basi
Ukinitukana ndo imeenda hiyo
 
Wazee inakuejee mabibi inakueje,

Mimi ni muendesha katapila aka Greda aka skaveta, nimekuja mnisaidie Mimi Kuna demu nikikutana naye Dar anaitwa Khadija aka kimodoo, ulikuwa mwaka juzi ametoka kumaliza form six, sasa nikatupia swaga mtoto akakubali sababu Mimi ni mnyamwezi

Penzi likanogaa, sasa kinachoniuma kumbe alikuwa na mchumba huko mkoani, kwao Igunga, alikuwa anasubiri amalize shule amuoe, kibaya zaidi Mimi nimewekeza kila kitu kwake hela nimempa za kutosha na shoo akawa ananinyima akinambia yeye ni bikra nisubiri muda ufike atanipa😭😭😭

Sasa hivi ameondoka Dar na nikimpigia ameniblock, roho inaniuma sana nataka nikajiue siwezi kuishi bila yeye wanangu nisaidieni, nampendaaa sana imebaki TU kichwani namba yake ya halotel inaishia na 9829
Sasa sisi tukusaidie lipi
Unamtaka huyo kimoodo?
Unataka kujiua?
Unataka asiolewe?
Unataka huduma ulizitoa zi rudi?
Nb: Hili la kujiua liko ndani ya uwezo wako,kuna njia ya moto, kujinyonga au kujirusha ghorofani kila la kheri katika maamuzi yako mkuu
 
Back
Top Bottom