Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
sio kama usipoandika ndio utaonekana mwamba .
Linapokuja swala la mapenzi sisi sote ni wamoja tu.
Napita kwenye situation kama yako mzee
Tumepishana muda tu
Me naenda wiki ya pili hi[emoji22]
Dah. Mkuu kama wewe aisee. Mimi siku 5 zimepita. Sema mi nikaona isiwe shida nikaanzisha Mawasiliano na msamaha nikaomba mimi ingawa sio kosa langu.
Mwisho wa siku we only live once. Maisha mafupi.
Basi muda huu tafuta wa kuzugia ata awe anakupa company kuchat usiku na kuongea.Naogopa ataniumiza zaid ataona kama mm ndo nimedoda!!
Shida nna kiburi fulan cha ukooo
Ko kukuta namba ndo umefumania duuuuhNilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta
Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kitombiii sana hapq mtaani!!
Kuwa na dem kichwa nazi bora uwe single tu.. We achan na huyo apew anachotakaNilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta
Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kitombiii sana hapq mtaani!!