Mapenzi yanauma jamani

pole jamani,. ila dadangu wew miaka mitano hamjafunga ndoa tu, na mtu uko nae duuh kwann sasa
 
Imenikumbusha mimi kisa changu cha mapenzi! Nilikuwa na r/ship na MTU ambae ni familia yake ni family friend wetu pia! Tulipendana sana, tulifanya mambo mengi ya msingi pamoja, tulisaidiana na kushauriana! Miaka 5 ya mahusiano yetu sikuwahi dhani IPO siku atafanya alichokifanya! Alipoondoka kwenda Dar akampata MTU mwingine wakaanzisha mahusiano, na yule mwanamke akawa anaitumia SMS za matusi sana, mpaka anafika kipindi kumtusi mamangu mzazi na familia yangu yote, nikimuuliza kama anamfahamu akawa anakataa kata kata! Siku moja nipo busy kujiandaa na mtihani wa mwisho, nikapigiwa simu usiku na yule mwanamke akawa anamwambia haya, ongea naye na umwambie, mwanaume akashika simu akasema, mimi sikufahamu na sijawahi kuwa na mahusiano na wewe! Sikujibu chochote, nilikata simu! Nililia sana, niliumwa sana mpaka nikaplfanyiwa operation ya vidonda vya tumbo ndani ya mwezi! Baadaye akabadilisha namba akaanza kunitext kuniomba msamaha eti shetani tu, huku watsap anamuweka demu wake! Nikashangaa sana! Siku nikavalishwa Pete ya uchumba na mzungu, familia yake walishangaa maana walijua bado Nina mahusiano na mwanao! Kumbe alinifanyia sivyo, naye alivyosikia akawa kapanga vita ili kuharibu mahusiano yangu, lakini namshukuru Mungu Bwana angu mwelewa sana na hana muda wa kijijnga, now iam at peace! Maisha yanaenda kwa amani! Kila siku anaitafuta kuniomba msamaha! Siwezi mjibu ovyo wala kumtukana....namjibu tu, Tuombeane uzima ili kila MTU aishie vema! Mapenzi mapenzi yanauma sana! Royalty is very rare if you find it....work hard to keep it! Tuvumilie tu, IPO Sikh utasahau tu dadangu! Utampata wa kukufuta machozi, you will be the happiest woman! Tulia
 
Harusi yko lini?
 
Pole sn dada Vai. ....piga moyo konde uendelee na maisha yako. Huwez jua Mungu kakuepushia kitu gani. Stop crying, move on with u r life, usioneshe udhaifu wwt. Be strong, fanya mambo yako ya Kimaendeleo na usipende kukaa mwenyew, kichanganye na marafiki. No nyimbo za huzuni wala profiles za majonzi. Ng'ara dear na jitahidi kumuweka Mungu karibu. Usilie, futa machozi
 
Nioneshe tusi lilipo zaidi ya hapo utakuwa hujui tusi ni nini.
ivi unanifahamu wewe unaniita duwanzi?? jiheshimu sana wewe sio kila mtu anaechat huko ni sana na wapuuzi unaokutana nao huko barabarani, naomba uniheshimu eti me mtu na heshima yang
 
ivi unanifahamu wewe unaniita duwanzi?? jiheshimu sana wewe sio kila mtu anaechat huko ni sana na wapuuzi unaokutana nao huko barabarani, naomba uniheshimu eti me mtu na heshima yang
Mbona povu linakutoka utafikiri umeza omo, umejuaje kama niwapuuzi kama wewe sio mpuuzi mwenzao???? Ungekuwa ni mtu unayejielewa na heshima zako usingeandika upuuzi huu, afu Mwenye heshima zake hajitangazi utamjua tu kwa uhandishi wake.

Afu sijakuita duwanzi nimekwambia comment za kiduwanzi labda kama unajiona mwenyewe duwanzi.
 
hayo ni mawazo yako me najifahamu, sasa nani anayeandika hizo comment? ivi kwanza unafanya kazi gani wewe maana toka asubuhi naona upo tuu
 
hayo ni mawazo yako me najifahamu, sasa nani anayeandika hizo comment? ivi kwanza unafanya kazi gani wewe maana toka asubuhi naona upo tuu
Unaweza kujiona uko sawa kumbe una shida, usiwe unakurupikia kitu bila kukielewa alafu acha kuandika comment za kiduwanzi haziendani na iyo heshima uliyodai unayo.

Alafu ni weekend leo kama umesahau, Jioni njema na Mungu awe nawe.
 
Unaweza kujiona uko sawa kumbe una shida, usiwe unakurupikia kitu bila kukielewa alafu acha kuandika comment za kiduwanzi haziendani na iyo heshima uliyodai unayo.

Alafu ni weekend leo kama umesahau, Jioni njema na Mungu awe nawe.
me sitaki hata baraka zako, mbona ungenijibu vizur yangeisha, kwan mimi before hujaniita me duwanzi nilikutukana?
 
Kuna vijana wazembe sana duniani...5yrs upo na mtu hujamzalisha???
sio kila mahusiano ni kwa ajili ya kuzaa, me kama sitaki kuzaa sitaki kweli hata tuishi miaka 100, labda yeye alimuhitaji kwa kumtumia tuu kumaliza haja zake basi
 
Jaribu uandike kidogo tu uni pm ntashukuru sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…