Mapenzi yanataka ujeuri

Mapenzi yanataka ujeuri

Yes naungana na wewe. Na some factors behind lazima ziwepo! Uwe na jeuri ya money kidogo, angalau na kamvuto kama kapo, atatamani dunia ipasuke

Ila ukijifanya unamgomea then upo upo tuu,yeye ndio kwanzaa anakunywa mtindi[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa daah huna hela,shule huna na maisha huna hahaaa

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
hapo lazma uibiwe mana siku akimpata anaejua kumuonyesha upendo imekula kwako
 
Kumbomoa mwenzio kisaikolojia ni mbaya sana hasa kwa wapenzi wanaoendeshwa na hisia zaidi! Atakuchukia vibaya sana, maana utakuwa unagusa udhaifu wake daily!
 
Back
Top Bottom