Mapenzi yanataka ujeuri

Mapenzi yanataka ujeuri

Ukitaka mapenzi uyashinde mbomoe mpenzi wako kisaikolojia asijione wa maana. Siku moja moja simu usipokee kwa muda, status usi-view, foka, hapo utamteka.

Mnaonewa kwa sababu mnaonesha kupenda sana. Mapenzi yanataka ujeuri.
eeeh,hivi kuview-status nayo ni ishu?interesting....siangalii status ya yeyote na wala sijui inawekwaje
 
Mi mtu nikimpenda ni nitakua nampenda hizi drama za kitoto sijui leo jifanye hupokei simu hizo sina kwasababu vipi yeye akiiepeleka to the next level? Utakuja kuanzisha uzi kujutia kubeba ushauri wa humu?

Mtu unampenda act kama unampenda.
 
Mix pleasures with pains. Hivyo hutaonyesha uhitaji.
Anaeteseka ni yule anayemtaka mwingine kwa sana. Onyesha kumdharau wakati mwingine Siyo unaimba sifa tu kama pambio.
Dunia pana. Kuna wengine wengi. Hakuna kitu kama my one and only kwenye mapenzi utateseka.

Kwanza unaanzaje kuweka Imani na MTU??


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huo ujinga mfanyie mpenzi ambaye mizani ya mapenzi imeelemea upande wake, yaani anakupenda kuliko unavompenda, ila kama mzani umelalia kwako usithubutu unaachwa kesho yake.
👏👏
 
Back
Top Bottom