Mapenzi yanapokuwa uchafu


Mhhh !!!!
 
Hebu tusaidie kuandika lists za aina mbili, moja iwe ni ile ya mambo wewe wayaona ni uchafu na nyingine yale ambayo kwayo wayaona ni usafi...

Hapo umenena mkuu,kwel itabd atueleze!
 

Mkuu hii thredi kwa 100% inanihusu mimi pia. Yan huwa nazunguka mji mzima kutafuta hoteli nile.
Nyumbani enzi hizo nilikua nagombana na hata kutupa vyombo nilivyoona vimechakaa.
Mpaka sasa sina mpenzi sababu naangalia sana usafi.
 

Mi lazma nioshe kikombe kabla ya kutumia.
Mi mara nyingi nakula mfano soda na biscut nikiamini ni safi eti.
Hotelini nikifikiria mabakuli na sahani nilivyooshwa, huwa nakula chakula cha juu tu, kilichogusa sahani sili.
Maji nanywea kwenye chupa.
Huu ni ugonjwa gani?
 
kichwa cha habari hakiendani na maelezo
 
Duh mkuu kumbe tupo wengi, unajua kuna baadhi ya watu wanaona ni kusudi ila huwezi amini mimi kuna wakati ni bora nikae na njaa kuliko kula sehemu ambayo sijaridhishwa na usafi wakati wenzangu ninaona hawana habari.
Mkuu hii thredi kwa 100% inanihusu mimi pia. Yan huwa nazunguka mji mzima kutafuta hoteli nile.
Nyumbani enzi hizo nilikua nagombana na hata kutupa vyombo nilivyoona vimechakaa.
Mpaka sasa sina mpenzi sababu naangalia sana usafi.
 
Labda mimi nikuulize hivi:
Wewe haunyi? (hauendi haja kubwa?)
unajisafishaje?
Unajua Broo sisi bindamu tumeumbwa na tabia tofauti sana! Kitu cha msingi ni kujikontroo na kubalance interest, eg: kila mwanadamu ni Mchoyo, kitu kinachofanya baadhi ya watu kuambiwa wanaroho mzuri ni jinsi tu wanavyoficha uchoyo wao!
Refers, everything is measured by reasonable man!
 
mleta mada unasumbuliwa na ugonjwa/hali inayojulikana kama Obsessive Compulsive Disorder (OCD). Google symptoms na remedy au therapy zake utapata majibu muafaka.
ni tatizo linalosumbua na kuharibu maisha ya watu wengi duniani kote.

...JF mambo yote.
 
huo ni ugonjwa wa kisaikolojia ambao mgonjwa anataka mazingira masafi kuliko inavyowezekana. wengine, hataki kukanyaga mchanga, n.k. na njia ya kwanza kukusaidia kubadilika, ni jitahidi ufanye vitu mwenyewe, kama kutandika kitnada, kusafisha chumba, kusuuza glass au ukikombe unachonywea, maana akili itaridhika kuwa kimesafishwa vizuri. pili try not to think about the behaviour anymore, fanya as if nothing is happening, when not necessary, do not shake hands.
 
Mkuu unatatizo moja alilonalo rafiki yangu wa chuo, mpaka ilikuwa noma.
 
Mkuu hii thredi kwa 100% inanihusu mimi pia. Yan huwa nazunguka mji mzima kutafuta hoteli nile.
Nyumbani enzi hizo nilikua nagombana na hata kutupa vyombo nilivyoona vimechakaa.
Mpaka sasa sina mpenzi sababu naangalia sana usafi.

hata wewe KakaJambazi? basi tutachafua pesa na vitu vyote vya thamani tusiibiwe!
 
Last edited by a moderator:

Da inawezekana kweli itakuwa manake me huwa sivai sandles kabisa navaa kiatu cha kufunika mguu wote nakumbuka kuna mtu alipitaga home kuniulizia baba mwenyenyumba akamwabia eti huyo atakuwa hayupo huwa havai viatu vya wazi mlangoni kuliwa na sandle nilishangaa sana.
 
Ahsante sana mkuu
mleta mada unasumbuliwa na ugonjwa/hali inayojulikana kama Obsessive Compulsive Disorder (OCD). Google symptoms na remedy au therapy zake utapata majibu muafaka.
ni tatizo linalosumbua na kuharibu maisha ya watu wengi duniani kote.

...JF mambo yote.
 
Mkuu hako ka ugonjwa kako katasababisha usiishi na mwanamke hata mmoja leave alone house girl au ndugu..watakuona unawasimanga na unajidai..na pale atakapo jifungua mumsup utahama na nyumba kabisa..vipi ukienda home kwa mama mzazi, shangazi,dada,harusini,msibani?.nahisi utabeba hadi mkeka wako wa kukalia...fuata ushauri wa members waliokupa link...kuna magonjwa/vijitabia vya ajabu duniani kweli..muacheni mungu aitwe mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…