asha mushi
Member
- Feb 23, 2017
- 33
- 29
- Thread starter
- #61
Duuuh sh.ngapi coz cyo mateso ninayo yapitia
Duuuh sh.ngapi coz cyo mateso ninayo yapitia
Asnte but me ni mwanamke nimejifunza mengi kutokana na point zako asnte ntajitaidi nifanye ivoUkitaka usimumizwe na mapenzi fanya mambo yafuatayo. Achana na kufukuzia mwanamke au mwanaume unayemtaka. Jaribu kuwa bize na maisha yako ya kawaida, pambana na maisha, tafuta pesa, fanya kazi, fanya mazoezi ya viungo na lkazi za mikono na muhimu kuliko yote, nenda kanisani uwe mtu wa ibada. I tell you, hiyo spirit ya kuwaza love inaondoka taratibu, na utajikuta wahusika wanakuja wenyewe aisee. Kama wewe ni mwanaume utajikuta mabinti wanajisogeza kwako wenyewe, kazi yako kuchagua
AHHHAAAAAAAAAAAAAAA MMMH HAYA POAMiss u 2!!
nipo likizo TZ mda huu...
Aya asnte ntajitaidi niache.We achana nayo fanya mengine...
usjaali bei ni chembechembe ndogo.. hata haizidi 250Duuuh sh.ngapi coz cyo mateso ninayo yapitia
Sio ujitahidi yaone yakawaida wala hutapata shida ya kuyawaza.Asnte jaman yaaani ntajitaidi nione ya kawaida maana
Si kila ndio ni ndio.Jamani! Pole sana....
Sisi wengune sijui tuliumwa na mioyo ya kichina!??? Yaani kitu mapenzi ata sijui kitaniumiza lini?? Sijapenda bado