Mmh mioyo ya plastic... au heartless!!Jamani! Pole sana....
Sisi wengune sijui tuliumwa na mioyo ya kichina!??? Yaani kitu mapenzi ata sijui kitaniumiza lini?? Sijapenda bado
Mkojo upi?ukiamua kuachana nayo utaweza tu kama ikishindikana kunywa mkojo
mkojo wakeMkojo upi?
Hahahaaas We kitukooo ushaur gani huoooukiamua kuachana nayo utaweza tu kama ikishindikana kunywa mkojo
Hahahaaas dahkwenye maduka ya dawa za kiarabu/sunna/asilia/udi.....
unamanisha auche moyo ufanye kazi yake ya asili?mwache huyo mpenzi wako kuwa single.. namna ya kumwacha tafuta ubaya wake kama ananuka mdomo kichwa chake kibaya labda halafu kila akija concentrate na ubaya wake utamwacha tu .. onyo hujaumba wewe so usipende kukosoa uumbaji wa Mungu.. halafu mapenzi si lazima ujue si maji useme usipokunywa utakufa okey safari njema
ushauri mzuri sana ili asiwaze waze mambo ya mapenziHahahaaas We kitukooo ushaur gani huooo
Dah asee hapo kweliiMapenz ni hisia zinazoumiza na kutesa watu wengi lkn Huwa hazichoshi, Leo umelalamika kesho Utapata mtu after then utasau ila akikutenda Utakumbuka tena Halafu maisha yanakwenda,
Huyoo kituko huyooHivi seriously mkojo unasaidia kumsahau mtu?
Aje tumpelekeeeenaomba nikupeleke kwa ditto, uko wapi wewe?
ndiyo mkuu sababu kupenda ni kihere hereunamanisha auche moyo ufanye kazi yake ya asili?
asije akakupenda na wewenaomba nikupeleke kwa ditto, uko wapi wewe?