mansuly
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 247
- 145
Alafu kweli maana mkojo una " Uric acid " unaweza ukamsaidiaaa Hahahaaasushauri mzuri sana ili asiwaze waze mambo ya mapenzi
Alafu kweli maana mkojo una " Uric acid " unaweza ukamsaidiaaa Hahahaaasushauri mzuri sana ili asiwaze waze mambo ya mapenzi
umeandika.....kama ...unaimba....Mapenz ni hisia zinazoumiza na kutesa watu wengi lkn Huwa hazichoshi, Leo umelalamika kesho Utapata mtu after then utasau ila akikutenda Utakumbuka tena Halafu maisha yanakwenda,
Anajitesa mwenyewe halafu anaambulia pole!!pole....
itamsaidia hiyo poleAnajitesa mwenyewe halafu anaambulia pole!!
Pole hiyo haipokelewi benk hata m-pesa!!itamsaidia hiyo pole
hii yangu ni ya maandishi tuuPole hiyo haipokelewi benk hata m-pesa!!
basi yako ina ahuweni kwake...😀hii yangu ni ya maandishi tuu
Nitamkatazaasije akakupenda na wewe
sio unaweza n unasaidia kabisaAlafu kweli maana mkojo una " Uric acid " unaweza ukamsaidiaaa Hahahaaas
Wakati mwingine mapenzi yanatutesa hasa pale tunapotaka kuyaongoza kwa akili zetu, kukosa moyo wa msamaha, kutamani au kuiga mahusiano ya wengine, etc.... Haya na mengine mengi yanachangia maumivu kuwa karibu zaidi katika mapenzi.....Jf naomba ushauri kwani kuna dawa ya kuacha kupenda au kutokuumia ukiacha maana nateseka sana mapenzi yamekuwa changamoto saana kwangu naomba nisaidieni jamani nimechoka na hii kitu inaitwa mapenzi nataka niwe mwenyewe nifanye mambo yangu.
vizuriNitamkataza
akiipokea itampa ahuwenibasi yako ina ahuweni kwake...😀
MISS U SIKUHIZI JF SIKUONI
Hahahaha daaaahYalie bashite tu kama vip
Miss u 2!!MISS U SIKUHIZI JF SIKUONI
Mapenzi yananing'ang'aniaHivi ni mapenzi yanamng'ang'ania mtu au ni mtu anang'ang'ania mapenzi??
Asnte kwa ushauri ntajitaidi japo daaahHakuna dawa ya kuacha kupenda
Ila unaweza kuachana nayo tu ukiamua kwa dhati
Ni kwl but ili la kupenda halipingikiKazi ya moyo ni kusukuma damu. Mengine tunalazimisha tuu.
Asnte jaman yaaani ntajitaidi nione ya kawaida maanaHakuna dawa nadhani wewe mwenyewe ndio dawa siku zote mapenzi ukiyaendekeza yatakusumbua ila ukiyapuuzia na kuona ni kitu cha kawaida wala hayatakupa shida.