Cr wa familia
JF-Expert Member
- Jun 18, 2023
- 1,064
- 1,448
Wewe ni shapeless shingo kama ya kakakuona , vimiguu kaka vya ndege , umekomaa kama chuma za bendera ya taifa,unakijitambi cha minyoo , meno yako yamegawanyika kama mahindi chomaHayanitesi, kama wewe ni ke na nayakutesa basi ni huna emotional intelligence ama lah sura mbovu na umbo baya. Pole sana
Ameshafanya yamebaki mapenziMkuu Jitahidi Mambo muhimu, katika maisha yako.
Aendelee kufanya, maisha Yana Mambo mengiAmeshafanya yamebaki mapenzi
Bila mapenzi mkuu huo ni uongo katika maisha ni bora mtu awe na mtu wa kumliwaza usingle nope .Aendelee kufanya, maisha Yana Mambo mengi
Hapana aisee, kwangu nina mengi ya kufanya na kuyatimiza💪Bila mapenzi mkuu huo ni uongo katika maisha ni bora mtu awe na mtu wa kumliwaza usingle nope .
Vizuri kila mtu anamtazamo wake bossyHapana aisee, kwangu nina mengi ya kufanya na kuyatimiza💪
Ili uwe sio mtu wa mapenzi inabid uwe annointed tokea tumboni tofauti na hapo una-uhaba wa nguvu za kiume/kikeVizuri kila mtu anamtazamo wake bossy
Post kwnza sura yako tuone tatzo lipo wapi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wewe dada ni chizi kudadeki nimecheka kinoma.Wewe ni shapeless shingo kama ya kakakuona , vimiguu kaka vya ndege , umekomaa kama chuma za bendera ya taifa,unakijitambi cha minyoo , meno yako yamegawanyika kama mahindi choma
Sijaoa na sina mke..Hivi si umeoa wewe?
Si kuna uzi ulikua unamtafutia mkeo tiba ya kuumwa kichwa wewe?
Unahitaji msaada mkuu.
Sawa mkuuPiga chini malaya wooote. Kaa tuliza akili, mpenzi hatafutwi anatokeaga tu mwenyewe na mnajikuta mmekuwa wapenzi. Tuliza akili
Yote najitahidi kufanya kwa bidii sana , ila mapenzi yananitesa sana inapo hitaji mtu( mwanamke) wa uhakika wa kunitulizaMkuu Jitahidi Mambo muhimu, katika maisha yako.
We jamaa uko kama mimi, except namba 2 hiyo mimi ndio sina kabisa.Ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30+ na nina uchumi wa kati tuu , ila mapenzi yamekua sehemu ya kunitesa sana katika maisha yangu sijui nifanyaje yani yananitesa kweli kweli
1: Nina wanawake wakula nao starehe ila kila nikimaliza kulala nao nafsi inaniuma sana na kunihukumu vibaya mno
2: Natafuta mwanamke wa kuoa ila kila ninae mpenda nakutaka awe mke wangu anakataa sijui shida ilo wapi
3: Nikisema niachane na mapenzi moyo ndiyo unauma zaidi na kuwa mpweke sana
Naombeni msaada ndugu zangu, mimi mapenzi yananitesa sana. Nifanyaje niache kuteseka hivi ndugu zangu