Mapenzi yananitesa sana.

mashambani kwao

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
370
56
Mimi ni mtumishi naishi KISARAWE nimebahatika kumtafuta mchumba mwaka huu ambaye alikuwa hana kazi sasa amepata kazi DODOMA najaribu kufikiri jinsi atakavyo ishi kwa mazingira haya ya dot.com..nisaidieni wapendwa.
 
Kama kweli unampenda umuoe then fuatili uhamisho. Kuaminiana ni jambo la msingi cz hata ukiwa naye anaweza kucheat tu kama si mwaminifu.
 
kama mnapendana kwa dhati, wasiwasi wa nini? unless huyo mtu wako hajatulia
pia hilo suala la distance, kaeni mlijadili kiundani
 
Ndo matatizo ya kuanza mapenz ukubwan, na wivu wa kijinga! Kama kazi ni kikwazo mkalishe nyumban.
 
Mimi ni mtumishi naishi KISARAWE nimebahatika kumtafuta mchumba mwaka huu ambaye alikuwa hana kazi sasa amepata kazi DODOMA najaribu kufikiri jinsi atakavyo ishi kwa mazingira haya ya dot.com..nisaidieni wapendwa.

Mtumishi wa ndani au wa nini?
Subiri ukue kwanza,ndio uendelee nayo!
 
jadiliana nae mwenyewe mpenzi wako, km mnapendana na mnatakana na mmepanga kujenga future basi ongeeni ili mpate jibu ambalo litakua halimkwazi yyt kati yenu. Communication na mwenza wako ni muhimu kuliko mashauri ya other people
 
kwanza acheni kufanya uasherati kwani ni uovu mkubwa mbele za Mungu, kama kweli mnapendana fanya-
1. je tabia ya mwenzi wako ni nzuri, ni mke wa kutulia nyumbani,

2.mkapime ukimwi wote kwa pamoja, mkiwa wote negative au positive;

3.tangaza uchumba kwa kufuata taratibu za kulipa mahali

4. jadilianeni wapi mnataka kuishi Dodoma au Kisarawe, mkikubaliana suala la uhamisho litafanyika mkishafunga ndoa

5. akiendelea kuwa mwaminifu, tangazeni ndoa,

6. fungeni ndoa

Baada ya ndoa fuateni taratibu za uhamisho
 
Back
Top Bottom