Mapenzi yananitesa sana USHAURI

Hamna type wala nini nyie PESA TU ndo dawa yenuu...hata nyani anakuwa type kama angekuwa na uwezo wa kuwa na pesaa
 

Yule mimi nmezidi kila kitu ndo maana nikaweka makambi yakudumu nikiamini hatupishani sana tena yeye ni kanene kidogo mi nimemzidi vingine vyotee, sasa ile kusema mi sio type yake ndo najiuliza anataka mfupi kama yeye na kanene kama yeye au kaamua kuondoka sawa namimi nimekubali kuachika sawa
 
Hee jamani, mi nakwambia. Sisi tukipata wa type zetu hata HELA hatuzitaki. Narudia tena, ukiona mwanamke anakudanga jua hakupendi, jiongeze kimbia.
Hamna type wala nini nyie PESA TU ndo dawa yenuu...hata nyani anakuwa type kama angekuwa na uwezo wa kuwa na pesaa
 
Hee jamani, mi nakwambia. Sisi tukipata wa type zetu hata HELA hatuzitaki. Narudia tena, ukiona mwanamke anakudanga jua hakupendi, jiongeze kimbia.
Wapi wewe mnapataga wa type yenu ila pesa kama hamna Mnaanza chengaa...! Mnaolewa na wenye vitambi mwisho wa siku mnaanza kutafuta vibraza men viwafikishee...hela mnataka na mapenzi mnatakaa...shwain kabisa
 
Labda vya ndani ya suruali yako, sio type yake...
. Bora kukwambia mapema Emma. Bora!! POLE.
 
sikulazimishi kuamini. Ila ndo ukweli.
 
Siku ukipata wa type yako utanikumbuka. Utakumbuka haya maneno. Yaani hata ukimwambia sina kitu mpenzi wangu atakuelewa. Kama haujampata ni vigumu kunielewa.
Haya bhna
 
BRO WASICHANA NI WASHENZI HAIJAWAHI KUELEZEKA


HALAFU WAO NDO HUWA WA KWANZA KULIALIA
HUYO MANZI ATARUDI NA MAKAMASI USONI

70% YA WANAUME PLAYERS WANA HISTORIA MBAYA YA KUTENDWA NA WANAWAKE

PIGA MOYO KONDE MAISHA LAZIMA YAENDE

ILA USIKATE TAMAA KUPENDA ILA PENDA KWA AKILI
 
Kamaliza chuo gni
 
Kesi ndogo sana hiyo: 1. Achana naye 2.buni aina fulani ya maisha ya kuishi 3. Tafuta pesa 4. Kiasi kidogo cha fedha wekeza kwenye mambo ya msingi 5.Penda kufanya tour baadhi ya sehemu zinazokufariji na utumie pesa kiasi 6. Huko utapata mpenzi atakayekuondoa katika hali uliyonayo 7.Furaha ya maisha itakuwa imerudi kwani utadekezwa badala ya kudekeza.
 
nimepaelewa saaana shukrani mkuuu
 

Kweli man ndo maana nikasema kawaponza wenzake sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…