- Thread starter
- #21
yaanin kama vile uko moyoni mwangu....ur very right.Binti mbona sioni kama mapenzi yanakusumbua!! nionacho ni moyo wako unakusumbua
yaanin kama vile uko moyoni mwangu....ur very right.Binti mbona sioni kama mapenzi yanakusumbua!! nionacho ni moyo wako unakusumbua
miaka saba hote hiyo uliishije????yaani uachane na mtu miaka saba bado unaendelea kumpenda??
unanichokoza rafiki....
Ila swali la amu ni kama hiyo miaka 7 yote alikuwa yupo yupo tu au alikuwa na mwingine. mimi yule wangu anakuwa na wangine but anaona hawajafikia kiwango, lol!
yaanin kama vile uko moyoni mwangu....ur very right.
natamani siku nichukue mabinti woooteeee nikae nao kitako tuulizane hili swali kwanza....
what do u mean unaposema huwezi kupenda tena? who is he? kwani ulianzaje kumpenda huyo uliyeachana naye na utashindwa kupenda mwingine? ana nini zaidi?
huku ni kujifunga mwenyewe. na ni wewe mwenyewe ndo unaweza kujifungua. usitegemee atatokea mtu mfano wa malaika ili akufanye umpende. wewe mwenyewe ndo unatakiwa ku-let it go na kukaribisha penzi jipya.....
msiniambie hayajanikuta..... nilishapenda saaaanaaaaa, nikaumizwa saaanaaaaa, nikaumwa hadi kulazwa..... but look at me now.... I am enjoying uteja wangu, na mtu mwingineeeeee, maisha yanasonga
kwa nini uendelee kukaa na kitu kilichokufa moyoni?Mi namwelewa maana yashanikuta lakn nlikuja kugundua tatizo la hii kitu ni ule ujinga wa kufanya comparison ya cha jana na cha leo
Kama cha jana kikibaki kuwa the best kwa namna yoyote ile obvious there will be no room for someone new
ha haaaa, hakuna lolote.....Hutaki kuchokozwa eeh!! 🙂🙂....Ni viwango rafiki ndio vinavyowarudisha wapenzi kwa maex, pamoja na kuwa wamepita huku na kule lakini kiwango cha juu bado ni cha mmoja tu. Unashangaa ex wa uteenager bado anataka utangaze ndoa tena kwa kuja juu kupita kiasi na machozi debe!!! Unabaki mdomo wazi tu.
ha haaaa, hakuna lolote.....
hajaamua tu kupenda tena
no comment........:A S-confused1:Viwango vya ex vikiwa ni vikubwa sana basi kupenda tena inakuwa si rahisi, unalijua hilo rafiki.....Chezeya viwango vya juu weye!!!! Utadhani uko peponi!!!!
Huyo ulienae nae hakupendi bora hata usimpende utaumia sana baadae, maana kama anamaliza siku tatu hajawasiliana na wewe wa kazi gani huyo, tafuta mwingine atakaekupenda na wewe utampenda tu na ndo atakaekufanya umsahau huyo wa zamanihabari wana MMU...ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
ningependa kuwashirikisha hili coz najua nitapata mawazo mbalimbali ya kujenga na si kubomoa hivyo naomba michango yenu ya dhati.
imepita miaka kama saba hivi tangu nimeachana na niliyekuwa nikimpenda kwa dhati na mpaka sasa ninampenda,tatizo nimeingia kwenye relationship na mwanaume mwingine tuna kama wiki tatu, lakini naona kama sio mtu sahihi kwangu coz moyo wangu bado unampenda my ex sijui nifanyaje naombeni mawazo yenu.
je niendelee na huyuhuyu au? note:huyu wa sasa naweza nikakaa hata siku tatu hata ngapi bila kuwasiliana naye na nikaona ni sawa tu.
habari wana MMU...ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.