mapenzi yananisumbua

mapenzi yananisumbua

jinaless

Member
Joined
Jan 1, 2013
Posts
43
Reaction score
4
habari wana MMU...ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
ningependa kuwashirikisha hili coz najua nitapata mawazo mbalimbali ya kujenga na si kubomoa hivyo naomba michango yenu ya dhati.
imepita miaka kama saba hivi tangu nimeachana na niliyekuwa nikimpenda kwa dhati na mpaka sasa ninampenda,tatizo nimeingia kwenye relationship na mwanaume mwingine tuna kama wiki tatu, lakini naona kama sio mtu sahihi kwangu coz moyo wangu bado unampenda my ex sijui nifanyaje naombeni mawazo yenu.

je niendelee na huyuhuyu au? note:huyu wa sasa naweza nikakaa hata siku tatu hata ngapi bila kuwasiliana naye na nikaona ni sawa tu.
 
miaka saba hote hiyo uliishije????yaani uachane na mtu miaka saba bado unaendelea kumpenda??
 
Endelea kusearch hadi upate kile kitu roho inapenda; usiwe na papara, usitafute mtu wa kuziba pengo tafuta mtu unayempenda. Jifunze kuchukia matapishi.......(you get me?:bowl🙂
 
Three weeks ni chache mno.

Ongeza miezi miwili ukiona bado moyo wako unakuambia yeye sio mtu sahihi kwako basi ni-PM namba yako ya simu ya kiganjani.
 
^^
Pole sana..ni ngumu kuvuka upande wa pili wa mto huku unatazama ulikotoka.
Jipe raha bibie,, X kitu gani? Tupa kulee
Maisha ni yako.
Dont insert people into your world.
^^
 
Ni mim sijaelewa ama vp?? Ina maana wew hiyo miaka yako yote 7 unamkubuka huyo Ex au umeanza baada ya kumpata mwengine
 
habari wana MMU...ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
ningependa kuwashirikisha hili coz najua nitapata mawazo mbalimbali ya kujenga na si kubomoa hivyo naomba michango yenu ya dhati.
imepita miaka kama saba hivi tangu nimeachana na niliyekuwa nikimpenda kwa dhati na mpaka sasa ninampenda,tatizo nimeingia kwenye relationship na mwanaume mwingine tuna kama wiki tatu, lakini naona kama sio mtu sahihi kwangu coz moyo wangu bado unampenda my ex sijui nifanyaje naombeni mawazo yenu.

je niendelee na huyuhuyu au? note:huyu wa sasa naweza nikakaa hata siku tatu hata ngapi bila kuwasiliana naye na nikaona ni sawa tu.

Miaka 7!!!!!!? Binadamu wengine hamjitambui kabisa.
 
Binti mbona sioni kama mapenzi yanakusumbua!! nionacho ni moyo wako unakusumbua
 
miaka saba hote hiyo uliishije????yaani uachane na mtu miaka saba bado unaendelea kumpenda??

Good question...nahisi tunadanganywa hapa, au kuna kitu hatuambiwi!
 
Mrudie ex wako kama alikukosea msamehe makosa yake, kama wewe ndiye mkosaji muombe samahani, huna haja ya kuendelea kuwa na mtu ambaye moyoni mwako hayumo kabisaaaaa. Kila la heri.

Aaa...
Thinking about your love
yeah...
Thinking about your love
tonight, today and always

I know it's hard sometimes
And you can get this courage
When it seems as though
our working lives
are keeping us apart
Put your trust in me,
oh baby, don't you worry
And it won't be long now,
So we must be strong

There were times, I know
I let you down so badly
I never knew then
What losing your love would
mean to me
Ask for anything,
I'll give it to you gladly
'Cause you're part of me now
And you must believe that...

If you're hurt, I'm hurting too
And I'm thinking about your love
If you need someone to care,
I'll be there
You should know I'll never change
'Cause I'm thinking about your love
tonight, today and always

Thinking about you
Thinking abou...

Counting off the days,
until I'm there beside you
'Till I hold you in my arms again,
I find it hard to smile
So I'm asking you
be faithful to me, baby
'Cause I'm coming through
And I'll always love you

If you're hurt, I'm hurting too
And I'm thinking about your love
If you need someone to care,
I'll be there
You should know I'll never change
'Cause I'm thinking about your love
tonight, today and always

What you feel, I feel for you
Thinking about your love
I'll be counting off the days
Back to stay
'Till I hold you in my arms
'Cause I'm thinking about your love
tonight, today and always

Thinking about you
I'm thinking 'bout your loving, yeah
Thinking about you
Thinking about your love

yeah, yeah...
If you're hurt, I'm hurting too
And I'm thinking about your love
If you need someone to care,
I'll be there
You should know I'll never change
'Cause I'm thinking about your love
tonight, today and always

What you feel, I feel for you
Thinking about your love
I'll be counting off the days
Back to stay
'Till I hold you in my arms
'Cause I'm thinking about your love
tonight, today and always...
-------------------------------------------------------

habari wana MMU...ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
ningependa kuwashirikisha hili coz najua nitapata mawazo mbalimbali ya kujenga na si kubomoa hivyo naomba michango yenu ya dhati.
imepita miaka kama saba hivi tangu nimeachana na niliyekuwa nikimpenda kwa dhati na mpaka sasa ninampenda,tatizo nimeingia kwenye relationship na mwanaume mwingine tuna kama wiki tatu, lakini naona kama sio mtu sahihi kwangu coz moyo wangu bado unampenda my ex sijui nifanyaje naombeni mawazo yenu.

je niendelee na huyuhuyu au? note:huyu wa sasa naweza nikakaa hata siku tatu hata ngapi bila kuwasiliana naye na nikaona ni sawa tu.
 
Last edited by a moderator:
Miaka 7 mbona midogo amu!!!! Maex wanatafutana hata mara mbili ya muda huo ili waendelee na penzi lao....Chezeya kupenda/kupendana.
CC: Fixed Point

miaka saba hote hiyo uliishije????yaani uachane na mtu miaka saba bado unaendelea kumpenda??
 
Last edited by a moderator:
hii makitu ya maex mi huwaga nakuwa mpole tu kuangalia yanayojiri maana ni experience tofauti tofauti tu...!!
 
Move on........too bad ni unapomuwazia mtu ambaye he no longer think about you
 
Miaka 7 mbona midogo amu!!!! Maex wanatafutana hata mara mbili ya muda huo ili waendelee na penzi lao....Chezeya kupenda/kupendana.
CC: Fixed Point
unanichokoza rafiki....
Ila swali la amu ni kama hiyo miaka 7 yote alikuwa yupo yupo tu au alikuwa na mwingine. mimi yule wangu anakuwa na wangine but anaona hawajafikia kiwango, lol!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
habari wana MMU...ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya.
ningependa kuwashirikisha hili coz najua nitapata mawazo mbalimbali ya kujenga na si kubomoa hivyo naomba michango yenu ya dhati.
imepita miaka kama saba hivi tangu nimeachana na niliyekuwa nikimpenda kwa dhati na mpaka sasa ninampenda,tatizo nimeingia kwenye relationship na mwanaume mwingine tuna kama wiki tatu, lakini naona kama sio mtu sahihi kwangu coz moyo wangu bado unampenda my ex sijui nifanyaje naombeni mawazo yenu.

je niendelee na huyuhuyu au? note:huyu wa sasa naweza nikakaa hata siku tatu hata ngapi bila kuwasiliana naye na nikaona ni sawa tu.

Napata tabu sana nionapo upuuzi kama huu
 
Miaka 7 mbona midogo amu!!!! Maex wanatafutana hata mara mbili ya muda huo ili waendelee na penzi lao....Chezeya kupenda/kupendana.
CC: Fixed Point

miaka 7 anatumia vibomba vileee au wanajigongea na kusepa sasa ndo kapata anayeweka kambi at least 3 weeks.Au BAK nisaidie
 
Last edited by a moderator:
natamani siku nichukue mabinti woooteeee nikae nao kitako tuulizane hili swali kwanza....
what do u mean unaposema huwezi kupenda tena? who is he? kwani ulianzaje kumpenda huyo uliyeachana naye na utashindwa kupenda mwingine? ana nini zaidi?
huku ni kujifunga mwenyewe. na ni wewe mwenyewe ndo unaweza kujifungua. usitegemee atatokea mtu mfano wa malaika ili akufanye umpende. wewe mwenyewe ndo unatakiwa ku-let it go na kukaribisha penzi jipya.....
msiniambie hayajanikuta..... nilishapenda saaaanaaaaa, nikaumizwa saaanaaaaa, nikaumwa hadi kulazwa..... but look at me now.... I am enjoying uteja wangu, na mtu mwingineeeeee, maisha yanasonga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom