Mapenzi Yana muda wake

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,634
Reaction score
57,010
Mapenzi sio Mambo ya kuongea ongea kuyahusu au kuyakazia fikra sana.mapenzi Ni ya kufanya na sio kuya discuss muda wote na kuyaweka kichwani.mwisho wa siku utaishia kujiumiza tu we subiri tu yaje yenyewe automatically.usiyachochee kwa namna yoyote ile fanya Kama hujui chochote ikitokea mmekutana ndani ndipo mfanye sio kulazimisha lazimisha na ndo maana hata sioni umuhimu wa stori za mahusiano na mapenzi Katika jukwaa hili .mapenzi hayasemwi yanafanywa na kufanywa Kuna wakati wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…