Mapenzi yamoto. Mapenzi ya kitoto siwezi

huo wimbo kaimba nani et na jina unaitwaje??
 
Dogo Asley na wenzake. chini ya mkubwa na wanae
 
habari ya mjini ni club 71
 
Naam! That's my jam right there!

Ila yule mdada aliye kwenye video...........kwenye dk ya 2.14 hmmmmmm


hii club 71 tegeta thats my neighborhood
i do my banking there every week.. ni a small mall
inaitwa Kibo complex.....
 
halafu kuna lounge ya ukweli ndani ya kibo complex.
 
kweli mapenzi ya kitoto magumu.
 
yamoto yamoto mapenzi mapenzi ya kitoto ya kitoto siwezi.
ninataka kwenda kazini unataka tulale.
 
Club 71 ni moja ya club bora bongo.
 
Kwa wenye magari ulinzi wa kueleweka upo
 
Miss msasani
 

Attachments

  • 1402488811444.jpg
    73.5 KB · Views: 175

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…