Mapenzi yameurarua moyo wangu

'Mwanamke ni kama chama cha siasa kinahitaji chama pinzani ili aimarike' by Lusekelo.
Sasa nikuulize kwani hakukuwa na chama cha upinzani? alikuwa peke yake tu?
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hawa alioumba mungu ni gombania goli mkuu kama unataka wa peke ako tengeneza wako
 

Mkuu pole sana, ni upepo mmbaya tu na utapita mi pia nimetoka kuumizwa vibaya na mtoto wa chuo hivyo hivyo. Wana kilanga sana ila nimejifunza hamna haja ya kumlia yamini mwanamke...Mpe nafasi akiwa machoni mwako ila akiwa mbali usijihangaishe naye kwa lolote. Kama ni kulalamika atalalamika sana ila we fanya mambo yako tu. Ndivyo walivyo, they want love but at the end they fail to handle it.

Kutoa upendo wa dhati kwa hawa dada zetu ni sawa na kumpa mtoto mdogo glass ya maji aibebe ilihali uwezekano wa kudondoka nayo na kuivunja ni mkubwa na iko wazi.

So its better ukawa humchukulii serious mwanamke yeyote yule na hakikisha huwi nae mmoja ili uweze kubalance hisia zako. Ni washenzi sana na wasahaulifu mno na hasa akijua yupo pekeake na unampa attention 100% kila anapohitaji. Lazma atakusaliti tu hata awe mpole kama malaika, naongea with experience na huu ndio ukweli.

Yote ya yote neno langu sio sheria nj ushauri tu mkuu. Namge
 
I like one side of U, Ur a man of facts! My dear piga moyo konde yaan life span ya mapenzi siku hizi ni kama sukari kwnye chai. Mpige chini then pause kidogo jipe vocation of love! ukiresume uje kivinginee


Great advice. It is not end of the world !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…