Cjambo za kwakohaujambo Moniccer?
Thank you brotherHata HIVYO NI vizuri umeyajua HAYA mambos mapema kuliko kuja kukuharibia FUTURE YAKO BAADAE,NA NIVIZURI UKAMWAMBIA HIVI UWEZI KUJUA REACTION YAKE NI IPI NA ANAWEZA KUWA NA SABABU ZA MSINGI,LAKINI KAZI YA MOYO KUSUKUMA DAMU KUPENDA TUMIA AKILI,KINYUME NA HAPO UTAKUWA MWANAFALSAFA,BRO,KUWA MWANAUME SIO KUVAA SURUALI TU,NIKUPANGA NA KUCHAGUA PLAY UR PARTY.
poa, njoo tubadilishane mawazo kwa pm.Cjambo za kwako
duh....Nahisi hivyo mkuu.. Nikisikiliza kwa audio...
Wakati ndio huuNajikusanyakusanya Mkuu nisonge mbele...
Huo ni uchochezi'Mwanamke ni kama chama cha siasa kinahitaji chama pinzani ili aimarike' by Lusekelo.
Sasa nikuulize kwani hakukuwa na chama cha upinzani? alikuwa peke yake tu?
Alikuwa kwenye plan ya kuwa msaidiz wa maisha.. Ubavu wangu.'Mwanamke ni kama chama cha siasa kinahitaji chama pinzani ili aimarike' by Lusekelo.
Sasa nikuulize kwani hakukuwa na chama cha upinzani? alikuwa peke yake tu?
Hahahahaha..........chama pinzani muhimu mkuu la sivyo utajikuta unalia kilio cha mamba.Huo ni uchochezi
Labda hujaelewa concept yangu, hukuwa na kadem kengine? mpaka unamruhusu huyu kurarua moyo wako.Alikuwa kwenye plan ya kuwa msaidiz wa maisha.. Ubavu wangu.
But ndo ivo moyo wa mtu kichaka..
Mkuu unajua kesi za uchochezi hazina dhamana lakiniiHahahahaha..........chama pinzani muhimu mkuu la sivyo utajikuta unalia kilio cha mamba.
Kwani hilo kosa ndio linamtesa yule mbunge wetu nini? basi nimekuelewa mkuu.Mkuu unajua kesi za uchochezi hazina dhamana lakinii