Mapenzi yamenifikisha hapa

Mkuu mwanamke mmoja tu ndo anakufanya u lose control kiasi hicho? hata sisi mbona tulishapenda kama wewe ila maumivu yalishapona na sasahv tunajicheka wenyewe tukikumbuka... acha kujificha kwenye kichaka cha pombe na umalaya face reality kidogo no pain is permanent utapona tu mkuu ni kitu kizuri kuwa na control walau kidogo na maisha yako... huyo mwanamke dawa yake mpotezee tu amini ipo siku atakuja kwa magoti na atakuwa amejifunza somo
 
Mkuu nadhàni MOYO ungekuwa transparent tusinge umizana, yule binti nilimpenda isivyo kawaida ila nadhani kuna kitu alihitaji zaidi ya nilivyo muhitaji.

Maisha ikabidi yaendelee tu.
Laiti kama ungetuiga sisi watu wa kanda maalum hapa karibu na kenya yasingekukuta haya , huwa hatupendagi kabisa. tunakuwaga nao tu hao viumbe mguu mmoja nje mwingine ndani
 
Pole sana... Kuna wakati maisha lazma yaendelee...
 
nimempotezea ila katika harakati za kumpotezea ndiyo nimejikuta nipo huku
 
Kuachwa na demu mmoja tu ndio umepaniki hivyo mkuu?

Ukiona wengine tuna demu zaidi ya mmoja ujue ni sababu ya kukwepa kadhia kama yako, ukiachwa na mmoja yupo mwingine anakushikilia.
wanasema the heart is not so smart , hata uwe na wanawake 100 kuna mmoja lazima akukamate
 
Story ya bangi ukiisikia ni tofauti na ukiitumia ni rahisi kui control bhangi
Yaani siku ya kwanza uvute bangi tena sana halafu ukumbuke njia ya kurudia home! hii chai bila sukari au pusha alikupa gozo badala ya bangi.
 
Mkuu ondoa hayo madude yote uliyoshikamana nayo. Baki na Bangi tu!
Ila usiitumie kama sehemu ya kuondolea stress bali kama dawa!
Yaana uzuri wa Bangi kama haikutaki inakuambia tu naww mwenyewe utajua tu maana utanza kufanya vitu vyaajabu itakulazimu tu uachane nayo iliuache maseke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…