Mapenzi yamenifikisha hapa

Mapenzi yamenifikisha hapa

Mkuu mwanamke mmoja tu ndo anakufanya u lose control kiasi hicho? hata sisi mbona tulishapenda kama wewe ila maumivu yalishapona na sasahv tunajicheka wenyewe tukikumbuka... acha kujificha kwenye kichaka cha pombe na umalaya face reality kidogo no pain is permanent utapona tu mkuu ni kitu kizuri kuwa na control walau kidogo na maisha yako... huyo mwanamke dawa yake mpotezee tu amini ipo siku atakuja kwa magoti na atakuwa amejifunza somo
 
Mkuu nadhàni MOYO ungekuwa transparent tusinge umizana, yule binti nilimpenda isivyo kawaida ila nadhani kuna kitu alihitaji zaidi ya nilivyo muhitaji.

Maisha ikabidi yaendelee tu.
Laiti kama ungetuiga sisi watu wa kanda maalum hapa karibu na kenya yasingekukuta haya , huwa hatupendagi kabisa. tunakuwaga nao tu hao viumbe mguu mmoja nje mwingine ndani
 
Pole sana... Kuna wakati maisha lazma yaendelee...
Mambo zenu,

Nimeona tu-share experience.

Kiukweli nimelelewa katika maadili mazuri na wazazi wangu pia wakubwa wangu katika familia yetu ni watu ambao ni mifano ya kuigwa.

Ni kweli nina heshima sana kwa watu wa rika zote na ninaonekana kijana smart na miongoni mwa vijana tunaojielewa sana hapa mtaani, lakini wengi wananitizama hivyo kwakuwa nimesoma kidogo lakini sina makundi kama vijana wengine.

Mwaka 2016 niliachana na mpenzi wangu ambaye kiuhalisia ni msichana ninaye mpenda tangu utoto wangu, na hii ilikuwa baada ya yeye kwenda chuo huko mkoani Arusha ndipo ikaanza (LONG DISTANCE RELATIONSHIP). Tulienda na hiyo lakini ikafika time mapenzi yakakosa mvuto kutokana na yeye kutotaka kurudi pale alipopata likizo.

Nakumbuka nilianza kuona mabadiliko ya kimawasiliano hivyo nikaanza kujitoa taratibu ili kuepuka maumivu makali siku akiniacha. Basi nakumbuka siku moja mishale ya saa 2 usiku iliingia message ikisomeka hivi: "NAOMBA USINITAFUTE, NIPO KWENYE MAHUSIANO SERIOUS". Nilikuwa barabarani na nakumbuka niliwaza hata kujirusha ili nigongwe na gari lakini nashukuru Muumba aliniepusha na hili.

Pia nakumbuka ndiyo ilikuwa siku yangu ya kwanza kuvuta bangi. Nakumbuka machozi yalikuwa yakinitoka taratibu nikiwa njiani nikaghairi kurudi nyumbani nikaenda katika bar moja, nikaagiza vinywaji vikali kisha nilipomaliza hapo nijaenda katika vijiwe vya bhangi ambavyo obvious vinafahamika na kila mwana mtaa.

Nakumbuka nilivuta sana kisha nikarudi zangu home baada ya hapo niliamua kuishi pekee, bila ya marafiki wengi na wanawake kabisa.

Basi nikaanza tabia ya kila jioni lazima nijisogeze kwenye bar za uchochoroni kupata moja mbili, na nilikuwa naingia bar zilizojficha ili kukwepa watu wanao niona kama mtu wa maana kumbe wakati huo mimi najiona mtu nisiye na maana.

Ikawa hivyo sasa, malaya wengi wakawa katika mzunguko wangu, muda mwingi nikajikuta nalala nao hovyo hovyo. Na ama ujuavyo malaya hawanaga nongwa, leo unalala na huyu, kesho yule, mchana huyu, usiku yule. Siyo siri, watoto wanayaweza sanaa pia wanajiachia mpaka raha.

Sasa imefika wakati ngono imekuwa kama kilevi kwangu, yaani karibu kila siku lazima nifanye ngono na malaya tofauti.
Imefika wakati napenda bangi na pombe zaidi ya sana, na msimamo wangu umebaki ule ule, sihitaji marafiki.

Kiukweli stress zimenitoka kabisa siku hizi. Hata juzi kati nimekutana na huyo msichana aliyeniacha nikakuta hata sishtuki, nikampungia mkono tu kisha nikaendelea na safari zangu.

Kwa nilivyo muona, alikuwa ni mtu aliyehitaji nimpe hata dakika 5 za mazungumzo lakini haikuwa hivyo. Nilikuwa sizioni status zake za WhatsApp kwa miaka kama mitatu ila kwa kuwa mimi sikufuta namba yake najikuta nimeanza kuziona inamaanisha amei-save tena namba yangu ila angejua hata mpango wa kuwa kwenye mahusiano sina.

Pombe, ngono na bangi ni wamekuwa washkaji zangu sana. Ukiwaona hao ujue na mimi nipo.

Life Goes On by 2Pac is my one of my favorite songs ever.
Bury me smiling with Gs in my pocket
Let every rapper rock at my funeral
Let those hoes I used to know from way before
Kiss from head to my toes


Karibuni K-VANT pembeni tonic na limao, sina muda.
 
Mkuu mwanamke mmoja tu ndo anakufanya u lose control kiasi hicho? hata sisi mbona tulishapenda kama wewe ila maumivu yalishapona na sasahv tunajicheka wenyewe tukikumbuka... acha kujificha kwenye kichaka cha pombe na umalaya face reality kidogo no pain is permanent utapona tu mkuu ni kitu kizuri kuwa na control walau kidogo na maisha yako... huyo mwanamke dawa yake mpotezee tu amini ipo siku atakuja kwa magoti na atakuwa amejifunza somo
nimempotezea ila katika harakati za kumpotezea ndiyo nimejikuta nipo huku
 
Kuachwa na demu mmoja tu ndio umepaniki hivyo mkuu?

Ukiona wengine tuna demu zaidi ya mmoja ujue ni sababu ya kukwepa kadhia kama yako, ukiachwa na mmoja yupo mwingine anakushikilia.
wanasema the heart is not so smart , hata uwe na wanawake 100 kuna mmoja lazima akukamate
 
Story ya bangi ukiisikia ni tofauti na ukiitumia ni rahisi kui control bhangi
Yaani siku ya kwanza uvute bangi tena sana halafu ukumbuke njia ya kurudia home! hii chai bila sukari au pusha alikupa gozo badala ya bangi.
 
Mkuu ondoa hayo madude yote uliyoshikamana nayo. Baki na Bangi tu!
Ila usiitumie kama sehemu ya kuondolea stress bali kama dawa!
Yaana uzuri wa Bangi kama haikutaki inakuambia tu naww mwenyewe utajua tu maana utanza kufanya vitu vyaajabu itakulazimu tu uachane nayo iliuache maseke.
 
Back
Top Bottom