Kulupura JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 3,175 Reaction score 1,288 Jun 29, 2025 #41 Poleee Sana mkuuu tuna ishinao
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 116,749 Reaction score 189,122 Jun 30, 2025 #42 Ms R said: Akiwa hajaamua yeye ni ngumu sana, mtakua mnapigia mbuzi gitaa,,,ndo hio dhamira unayosemea sasa,asipokua nayo ni shwaaaa. Click to expand... Haswaa!!
Ms R said: Akiwa hajaamua yeye ni ngumu sana, mtakua mnapigia mbuzi gitaa,,,ndo hio dhamira unayosemea sasa,asipokua nayo ni shwaaaa. Click to expand... Haswaa!!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 116,749 Reaction score 189,122 Jun 30, 2025 #43 Turnoff said: Yanauma sana Click to expand... Sanaaa!!
N ndugu mteja Senior Member Joined Sep 6, 2022 Posts 155 Reaction score 317 Jun 30, 2025 #44 Jemie said: Polee sana kwa maumivu. Kitu ambacho tunapaswa kukielewa kuwa mahusiano ni hisia. Na unaweza kumpenda mtu na yeye asikupende.Hivyo shukuru amekua muwazi kwako ingali bado mapema. Usiumie wala kufadhaika. Click to expand... Sahihi kabisa mkuu. Watu wengi hufikiri mtu akikwambia hakupendi anakuchukia. Wakati mwingine ni faida sana kuliko ukae nae na aishie kukudanganya.
Jemie said: Polee sana kwa maumivu. Kitu ambacho tunapaswa kukielewa kuwa mahusiano ni hisia. Na unaweza kumpenda mtu na yeye asikupende.Hivyo shukuru amekua muwazi kwako ingali bado mapema. Usiumie wala kufadhaika. Click to expand... Sahihi kabisa mkuu. Watu wengi hufikiri mtu akikwambia hakupendi anakuchukia. Wakati mwingine ni faida sana kuliko ukae nae na aishie kukudanganya.
Aiylan wasalan JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,383 Reaction score 3,276 Jun 30, 2025 #45 Mi nishakua Nunda.
Gucci gang JF-Expert Member Joined Jan 7, 2018 Posts 2,716 Reaction score 5,346 Jun 30, 2025 #47 Registered_jf said: Pole sana. Naomba kujua haya macho ya kihistoria yako namna gani? Click to expand... Ukimuangalia hivi kwa mbali anakuja kama karl peters hv😁😁😁
Registered_jf said: Pole sana. Naomba kujua haya macho ya kihistoria yako namna gani? Click to expand... Ukimuangalia hivi kwa mbali anakuja kama karl peters hv😁😁😁
creedfx Senior Member Joined Jun 24, 2022 Posts 103 Reaction score 59 Jul 1, 2025 Thread starter #48 Registered_jf said: Pole sana. Naomba kujua haya macho ya kihistoria yako namna gani? Click to expand... 😁 macho yaliyobeba historia ya namna watu wanvyoweka mtazamo juu yake
Registered_jf said: Pole sana. Naomba kujua haya macho ya kihistoria yako namna gani? Click to expand... 😁 macho yaliyobeba historia ya namna watu wanvyoweka mtazamo juu yake