Mapenzi yaliniumiza mpaka nikarudi shule

Mapenzi yaliniumiza mpaka nikarudi shule

mcute tu

Member
Joined
Dec 17, 2020
Posts
22
Reaction score
56
Mwaka 2007 nilikutana na kijana mtanashati sana. Kweli nilimpenda sana sina uhakika kama na yeye alinipenda pia. Nilitoa muda wangu mwingi kwake. Lakini siku moja tu alikata kabisa mawasiliano na mimi. Kweli nililia sana nilichanganyikiwa sana. Nikafanikiwa kwenda nyumbani kwake maeneo ya Tabata aroma. Nikamuomba aniambie kwanini hapokei simu yangu.

Akaniambia kuwa mimi sijasoma na yeye alikuwa anataka kuoa msomi. Kiukweli nilijiunga na Qt nikasoma kwa bidii mpaka nikafanikiwa kufika kidato cha nne na hatimae kidato cha sita mwisho chuo. Namshukuru sana X wangu kwa kuniumiza maana yale maumivu ndio yamenifikisha hapa nilipo sasa.
 
Mapenzi as inspiration
#Mapenzi Mapenzini
 
Love, always comes as a surprise
You don't need to close your eyes
'Cause soon you'll recognize
Its colors
 
Love, always comes as a surprise
You don't need to close your eyes
'Cause soon you'll recognize
Its colors
what you say may be its true. but I have already opened the doors to another relationship. Although I still need time to get to know each other better

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom