Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,910
- 7,562
Kenya mtu anapishana na risasi ngi nga hapo kwa hapo...huo ujasiri watanzania hatuna ...kabisa...mim pia napenda kuishi Kenya ama nchi za west Africa Wana uthubutu kwa mambo mengi ndio mana wanafanikiwa sana na Wana UMOJA usio wa kawaida ndio mana nchi za ulaya unawakuta wengi ila bongo ubinafsi uchawi na Bado waoga ama wenye nidhamu za woga ..uchawaYaani kwa style hii walioko kwenye mfumo washashindwa, tumebaki wananchi tujiokoe wenyewe lakini na kwa jinsi wananchi wa nchi hii tulivo kunguru hamna kitu tutafanya.
Sijui kwanini sikuzaliwa hata kenya hapo,bongo napachukia kwa moyo wangu wote 😡.