Hata huko hstufikiMkeka ushachanika, born town kashawazidi kete tuendelee kuomba Mungu tu tukisubiri 2030 😒
Mbona hivi tena mkuu maana si kwa kutepeta huko tena mapema hivi ...vipi wahuni wamegoma?Sawa nenda kadai usione watu ukadhani ni kama wewe jaribu tupo kukuangalia
Imekuwaje tena,ulituaminisha sana humu kwamba anadondokaNikweli hamna wakuxuwia na mtakacho ndio kinakuwa. Watanzania ni mali yenu mnaweza kufanya chochote na hakuna wakuwafanya lolote.
Basi sawa hongereni sana ila kaburi la baba Wataifa lipo hapa Tanzania 🇹🇿 🙏
Kwa pamoja tunasema Mapenzi ya Mungu yatimie hapa duniani kama mbinguni. 🙏 🙏 🙏
Nikweli hamna wakuxuwia na mtakacho ndio kinakuwa. Watanzania ni mali yenu mnaweza kufanya chochote na hakuna wakuwafanya lolote.
Basi sawa hongereni sana ila kaburi la baba Wataifa lipo hapa Tanzania
Kuna mmoja alisema ikifika 19th July she will loose total control ya usimamizi wa kampuni, hivi Britannica wetu yupo kweli? au anacharazwa viboko kwenye shule ya msingi ya jirani muda huu.Mkeka ushachanika, born town kashawazidi kete tuendelee kuomba Mungu tu tukisubiri 2030 😒
Yaani kwa style hii walioko kwenye mfumo washashindwa, tumebaki wananchi tujiokoe wenyewe lakini na kwa jinsi wananchi wa nchi hii tulivo kunguru hamna kitu tutafanya.Inaonekana walitangulia kutangaza mipango yao hadharani, wakasahau kuwa watu wako busy tangu 1995 kutengeza ufalme wao.....
Wakasahau, walipofanikiwa mwanzo, ni kwasababu waliotaka ndo waliojiunda tangu 1995.
Kama PGI tu asali mwa mwa mwa...unadhani waliobaki wakoje? Na nani anaelewa hata maana ya uzalendo mbele ya ULAFI wao?
Kama mmeshakubali matokeo, tumsubiri tu MWANA WA ADAMU arejee....hakika tumekuwa mang'ombe kamili.
Hamna kitu rafiki,kelele zimekua nyingi sana kuliko action na hapo ndo wanapozidiwa kete na jk yeye na timu yake hawaropoki ni action tu, hata enzi za mwenda zake kelele zilikuja baada ya kukamilisha zoez lao.Hata huko hstufiki
Ngoja nisubiri press ya Leo 😁
Na hiyo ndo maana ya mtoto wa mjini, mtoto wa KiswahiliHamna kitu rafiki,kelele zimekua nyingi sana kuliko action na hapo ndo wanapozidiwa kete na jk yeye na timu yake hawaropoki ni action tu, hata enzi za mwenda zake kelele zilikuja baada ya kukamilisha zoez lao.
Chief TumainiEl kwa Thread hii je ni ishara ya kusalimu amri au lingaliko tumaini?Nikweli hamna wakuxuwia na mtakacho ndio kinakuwa. Watanzania ni mali yenu mnaweza kufanya chochote na hakuna wakuwafanya lolote.
Basi sawa hongereni sana ila kaburi la baba Wataifa lipo hapa Tanzania 🇹🇿 🙏
Kwa pamoja tunasema Mapenzi ya Mungu yatimie hapa duniani kama mbinguni. 🙏 🙏 🙏
Ameokoka siku hizi.Kaka TumainEl zamani usinge andika hivi.
Na ilikuwa 2022V
Vp kuhusu ile barua uliyosema itasomwa na kushangaza wengi na wengine kuzimia?
AmenSawa anza wewe kama mwanaume ila sisi tupo pembeni kukuangalia nakurudia Mapenz ya Mungu yatimie kama vile kule mbinguni. Amen
Na kweli imebaki tu mapemzi ya Mungu yatimie,Maana peke yetu hatuwezi. Hawa viongozi wameshaliteka taifa hili na hakuna wa kutuokoa zaidi ya Mungu mwenyewe muumbaji wa mbingu na nchi.Sawa anza wewe kama mwanaume ila sisi tupo pembeni kukuangalia nakurudia Mapenz ya Mungu yatimie kama vile kule mbinguni. Amen
Usiwapuuze hao uliowataja. Mungu ana namna nyingi za kufikisha ujumbe kupitia watu mbali mbali kwa sehemu na nyakati tofauti. Kuna mengi yaliyosemwa kabla na miongoni mwa uliowataja na yalitukia.Manabii na watabiri wa JF ni kama wamezidiwa nguvu pakubwa sana na King Maker JK the legend from Msoga.
Ukiwaangalia kina Tumia akili, TumainiEl, Britannica, Griss, Imapctinglife, Yoga nk ni kama aidha wanatoa kauli za kukata tamaa kabisa au hawasemi kitu kabisa. Na wao wameamua kumwachia Mungu wa mbinguni ikimpendeza afanye jambo.
Nchi hii hatuna cha Deep state na hata usalama wa taifa uliopo, upo ili kulinda maslahi ya Ccm na hasa JK na hawako kwa ajili ya taifa tena. Jeshi halijui lifanye nini kwasasa. Ni kama nchi iko kwenye uoga ambao haujawahi kuonekana kabla.