Mapenzi ya wanawake watu wazima ni matamu sana

Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana wana ladha tofauti kabisa
Mkuu hao wamama watu wazima unawaanza vipi yaani mpaka unawapata
 
Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana wana ladha tofauti kabisa
We ni mpumbavu na mvivuu. Huyo ni mama yako na mama yako akijua asipokuachia laana anaweza kujinyonga. Yaani umeishiwa hivyo. Imagine. Hivi mama yako akiingia na kijana kama wewe kama mumewe au whatever utajisikiaje mkumbaff wewe? Shame on you
 
Kwa umri wangu sikuwahi kuwa kwenye mahusiano ya kimahaba na mwanamke aliyenizidi umri mpaka mwaka huu nilipopata mama mwenye miaka 40 alimaarufu namba A. Mimi nina 27yrs, hakika naenjoy maana wana ladha tofauti kabisa

1. Wanajua mapenzi na ni wasafi wa kiwango cha SGR. Unakula tunda la grade 1, tofauti na hawa namba D maringo mengi, kucha ndefu, kwa bibi
Tuoatie mrejesho
 
Umewapamba sana weka wazi sifa yao kubwa kwa kuwa umri umesogea wengi wao wanakuwa wanajiweza kiuchumi hizi nyingine ni blah blah tu
 
Usibobee sana huko pana mshkaji wangu kaongozana na bimkubwa wake (mama yake )kariakoo mara kakutana na mshkaji wake mwana sana kwake wanajuana kinoma mchizi si akaropoka "hans bado tu hujaacha tabia ya kuwala wamama "

Uliona hiki kichekesho kwny stand up comedy ya Wasafi.Acha uongo
 
Dah!!...yaweza kuwa jamaa anajisifu kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mtu mzima.

Anakuta ni shangazi yangu jamaa anamgegeda

Au hata mama mkubwa, mzazi, mdogo anagegeda jamaa.

Maana huyo mwanamke mtu mzima uliyenaye unakuta ni mama mzazi wa mwana JamiiForums mwenzetu.

Dah!!..Haya bhana
 
Kuna jamaa yngu alitusimulia kuna siku aliopoa mama mtu mzima au sijui yeye ndo alionipolewa wakaenda hom kwa mmama alikua anaishi mwenyewe.

Daah jamaa anadai alibebishwa si kawaida fulu kuogeshwa na maupendo kama yote vile. Hadi wapangaj wengne fulu kumtolea mimacho jamaa sijui ndo wivu au. Jamaa anadai ule usiku ulikua mfupi sana ila cha ajabu hakuwai kurudi tena kwa yule mmama.

Sent using Jamii Forums mobile app
DUH
 
Mie namiliki jimama lina miaka 46 yaan nilitamu zur sana linajua mapenz linajua wajibu wake yaan nafaid sana had wife siku hiz ameanza kushtuka kwasb nakuwa sina wivu wa kijinga kijinga
So hushauri vitoto under 30? Kuchepuka navyo hahahahaha
 
Back
Top Bottom